Watoto 11 Baba 5 tofauti-London ya kisasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto 11 Baba 5 tofauti-London ya kisasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmakonde, Mar 3, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  United front: Barbara Harriott with her 11 children by five men. All but the oldest lives with her in a four-bedroom house in Lewisham
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hata nchi zetu maskini zinajua family planning kuliko UK ya sasa.Ni kawaida kukuta
  akina mama wana watoto na different fathers.Hii ipo sana kwenye jamii ya watu weusi!
  Karibu ya 50% ya akina mama weusi ni single mothers.Ndio hapo matatizo huanza kwa vijana
  wanaolelewa na single mothers,study inaonyesha kuwa vibaka wengi jijini London,wanatoka katika single mother family.
   
 3. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 27,682
  Likes Received: 24,340
  Trophy Points: 280
  wanafanya kusudi hai ili apate benefit,hapo kapewa nyumba hio bure ambayo ingemgharimu kama£1500 kwa mwezi bado hela ya kila mtoto kwa wiki huyo anaweza kutengeneza hata£700 bila kufanyakazi,hao watoto ndio mtaji wake.
   
Loading...