Aboud Bus laungua moto!

Aboud Bus laungua moto!

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
3,832
Reaction score
637
Aboud bus laungua moto mchana huu pale ubungo bus terminal lilikuwa linatayarishwa kwa safari ya kesho ya DAR-TUNDUMA.

Hakuna mtu aliyejeruhiwa.
 
eeeeeeeeh chanzo ni nn?

Hakijajulikana cause mafundi walishamaliza kulifanyia service ndo wakaona moshi unatokea kwenye injini na gafla likawaka moto .
Fire wamefika gari limeshaungua
 
Natumaini hii hausiana na "Insurance Claim" - Gari inamaliza kufanyiwa "Service" halafu inawaka moto - just like that!

Bongo - kuliko uijuavyo!
 
Natumaini hii hausiana na "Insurance Claim" - Gari inamaliza kufanyiwa "Service" halafu inawaka moto - just like that!

Bongo - kuliko uijuavyo!

Nakusupport babake Enock hii inaweza ikawa ni nia ya kuclaim Insurance tu baada ya gari kuingiza faida nyingi
 
Natumaini hii hausiana na "Insurance Claim" - Gari inamaliza kufanyiwa "Service" halafu inawaka moto - just like that!

Bongo - kuliko uijuavyo!

Lets End it here!!
Ningekua karibu ningekuongeza glass nyingine ya Juice.
 
Loh!, afadhali hakukuwa na abiria maana tumechoka kupoteza uhai wa watanzania wenzetu kwenye hizi ajali za kila siku.
 
Mbeya huwa yanaenda yale mabasi ya mwaka 1988, mabox body .
Yamechoka sana na yanakila sababu za kuwaka moto.
Wiring zake ni za waya za nyumba.
 
Inawezekana lilikuwa limechakaa, bima wajiandae kulipa.
 
Mbeya huwa yanaenda yale mabasi ya mwaka 1988, mabox body .
Yamechoka sana na yanakila sababu za kuwaka moto.
Wiring zake ni za waya za nyumba.
hahahhaa! sio, wanatumia yaya za spika zile nyembamba za kichina
 
Mhindi huyo wa Morogoro ni mshenzi tu kwani masafa ya mbali hupeleka magari/mabasi yaliyochoka tu hivyo inawezekana ni deal hilo anataka kulipwa bima ili alete gari zingine. Ni marra nyingi hupendelea kufanya ubazazi wa namna hiyo, je bado mnakumbuka ile taarifa kuwa aliwahi kupata ajali pale Bwawani na kuzika maiti zote pale? Sijui kama ilikuwa kweli au la ila zilimuharibia sana biashara
 
Saa hizo linawakia moto liko njiani linaenda huko linakopaswa kwenda jamani jamani huu usafiri wa jinsi hii utatumaliza. Mungu amewanusuru abiria waliokuwa wanapswa kusafiri nalo.
 
Dah pole sana mmilikiwa gari ,dereva na kondakta
 
Back
Top Bottom