Faida na hasara ya Majoho, kanzu na makoti ya waganga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida na hasara ya Majoho, kanzu na makoti ya waganga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lekanjobe Kubinika, Mar 2, 2010.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Waganga wanavaa makoti marefu meupe, mashehe na wachungaji na mapadre wanavaa majoho meupe na marefu. Nini faida na hasara zake?
  1. Padri, shehe wanapohubiri wanahifadhiwa na mavazi yao wasiaibike pale mambo yanapobadilika wakihubiri, hasa mabinti wengine wanapokuwa hawataki kuvaa nguo za heshima kusitiri maungo yao, tena mabinti wenyewe wanapenda kukaa mbele wakipanua miguu yao wanaposikiliza mahubiri wakichezesha mapaja yao kama vile mtu apigavyo makofi. Sio madada wote waendao misikitini na mahekaluni wanaenda kuabudu Mungu, wapo wanaokwenda kutafuta dawa ya ashiki zao wawanase wawatazamao. Ndio maana inashauriwa usitafute mchumba siku ya Iddi na Chrismass - mabinti wote ni warembo na wanavutia sana. Angalia watu wanavyohangaika kutafuta vazi special la kuvaa kanisani na msikitini siku ya ibada, halafu wanayatoa mara baada ya kumaliza ibada.
  2. Madaktari wako serious kuwasaidia wagonjwa lakini kuna wadada wengine utadhani hawaumwi kwa namna wanavyojianika na kujipamba waendapo hospitali, waganga wanachanganywa akili kwa perfumes na vivazi vilivyovaliwa kwa namna ya kumwamsha aliyelala, tena wanajiachiaaaaa mbele ya daktari anapoanza kuchukuwa maelezo ya mgonjwa kwa kumsikiliza na kuangaliana macho. Mambo yakiharibika, makoti yanasaidia kuficha dhahama ya bwana mdogo anayehangaika kutaka kufungulia kamba na kuchomoka. Waulize waganga wa meno taabu waipatayo kutibu mabinti wanaoumwa meno lakini generally ni wazima. Mganga wa meno anaangalia uso zaidi na kama hakupata breakfast kwake kuna kuchanganyikiwa na sura hizo na sauti na macho ya mlegezo.
  3. Labda hizo ni baadhi ya faida, kusitiriwa na aibu pale jogoo anapotaka kuleta fujo wakati usiokuwa muafaka. Lakini hasara yake ni kwamba mavazi hayo huwafanya wavaaji hao kulemaa kwa maumivu ya kila mara lakini wasiweze kuonyesha hisia zao na hata kujifunza mbadala wa focussing on specific issues. Ndio maana daktari anaweza kukaa hata saa nzima anachukuwa history ya binti na kumrudiarudia kupima kifua na tumbo akidhaniwa anatafuta ugonjwa kumbe naye ndio anamaliza fadhaa zake.
  4. Kama ukumuona mwanamke kwa jicho la kumtamani utakuwa umezini, basi wachungaji, mashehe na madaktari wengi wameshanaswa na mitego kila mara, hawatubu kwa sababu wameyageuza mambo hayo kuwa ni matukio ya kawaida kazini. Ndio maana hadithi hazikomi kusikia daktari, shehe, padri amebaka mhudumiwa wake tena ofisini kwake.
  5. mavazi hayo yanawafanya madaktari, wachungaji na mashehe wapate taabu kuchagua wenza wao kwa sababu kama ni urembo wanakutana na urembo wa kila aina kila siku hata wadumazwe kujua ni yupi zaidi kati yao wote wanaowaona kila siku. Wengi wanakujapata wenza baadaye sana, au wanamaliza hasira zao za muda kwa ama manesi na wagonjwa (kwa Madaktari), wahudumu na waumini (kwa wachungaji na mashehe), masista na waumini (kwa mapadre).
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  we jamaa ni aje?!

  zile ni nguo za kazi, na pale ni ngumu sana wao kupata vishawishi,

  siamini sana kuwa nguo hizi zinawaweka haraini watumishi wa bwana

  halafu umepanga vibaya sana thread yako. inachosha kusoma
   
 3. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sijui mkuu unaishi dunia gani. Unajijua vizuri zaidi wewe mwenyewe. Ukitaka kuelewa utaelewa tu, lakini kama punda hataki kunywa maji hata umchape vipi hanywi. Ndio demokrasia ya kisasa, take it or go. Hayo yaliyosemwa wanaohusika na kazi hizo wanayajua, ama uvute subira kusikia wao wanavyosema au kaa kimya kama hujui unaweza uchangieje. Sio lazima kila Thread uichangie. Unaruhusiwa kuisoma na usiijibu, au ukajibu kama kuna kitu una uwezo nacho kukichangia, wala hutalaumiwa. Lakini ukionyesha umbumbumbu wako hadharani nio wajifanya vibaya mwenyewe.
   
 4. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ninachoamini mimi hizi ni nguo za kazi na hata rangi nyeupe inaonyesha usafi.
  ndio maana kwa hospitali ma-Dk. wanavaa makoti meupe ni wanaume na wanawake hii nguo ya kazi na pia hutumia rangi ya bluu au kijani k.m chumba cha upasuaji kwa maana ya matumaini.

  so kama mtu sijui ameshikwa na mfadhaiko au zimempanda hizo ni sababu zake za binafsi na kushindwa kujizuia maana ameiruhusu tamaa yake imtawale lakini haihusiani na suala la mavazi wanayovaa. hizo ni uniform kama zingine tu tofauti tu ni kuwa hii inatumika wapi na kwa malengo gani. i.e kanisani, msikitini, shuleni, hospitalini, viwandani, majeshini, n.k.
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanawake nao wanasitiri nn?? au ni fikra zako potofu.Peleka thread hii kwenye udaku...lol!:eek:
   
 6. H

  HUBERT MLIGO Member

  #6
  Mar 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duu! Lekanjobe we mtu waajabu sana. Umeeandika upuuzi umekosolewa, ukaendelea kutetea ujinga ilimradi uiaminishe jamii upumbavu wako. Hapo kati ya wewe na Edson nani mbumbumbu?

  Hata hivyo nakupongeza kwa kumtaka Edson avute subira kuona kati yako na Edson nani mbumbumbu, na nani anahitaji kuelimishwa na kueleweshwa zaidi...
  Hoja yako haina mashiko...
  ----------------------------------------------------------------------------------
  Think, Reason, Act.
   
 7. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Good thinking!
   
 8. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Thanks. t least you are a bit thoughtful. not completely void-headed.
   
 9. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Thanks. Kwa kweli angalau nimepata mtu anayefikiri kabla hajaanza kuandika. Ni kweli, kimsingi hapa tatizo sio rangi ila vazi. Hata waganga wanafundishwa umuhimu wa kuvaa makoti kwa sababu ya faida nyingi sana, zilizotajwa ni baadhi tu, zimefupishwa kutaka wengine waseme faida na hasara kama zipo. Umesikoa shehe aliyefumaniwa juzi tu? Je hujasoma bado mchungaji wa EAG dodoma aliyeachishwa kazi sababu ya uzinzi? Hao nao ni binadamu, kuangalia pande zote mbili za shilingi kuna faida kubwa. Thanks again. Hata wauza nyama si wanavaa makoti marefu? achana na rangi. Kina mama wengine hufunzwa kuvaa magauni yanayofunika mpaka kisigino na vidole vya miguuni, wengine hata kukupa mkono kusalimia ni mwiko. Wengine wanafinika macho kwa mavazi kiaina. Huwaepusha mengi lakini pia huwakosesha mengi.

  |Wenye akili watafikiri, lakini wanaopenda kufyatuka tu kuandika bila kufikiri huongea hovyo, wote hao husamehewa katika demokrasia ya mawazo. Si vema kumbana mtu kutoa mawazo yake. Wewe unapodhani ni upuzi kuna watu wananufaika kwa namna moja au nyingine.
   
Loading...