Katika gazeti la Mwana Halisi toleo la leo no 163, lina kichwa cha habari kuwa akina, Rostam, Karamagi, Somaiya, na wengineo wamechaguliwa na Sekretariate ya CCM iliyo chini ya Uenyekiti wa...
MGANGA wa kienyeji mmoja mkazi wa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, anashikiliwa na polisi mkoani humo kwa tuhuma za kuwadhalilisha wanawake wawili kwa kutaka kufanya nao mapenzi bila ridhaa yao...
By Sam Greenhill and Dennis Rice
Last updated at 12:51 PM on 18th November 2009
Comments (517)
Add to My Stories
A Nigerian Home Office worker 'married' his own daughter to get...
Habari wana JF,
Kuna kitu kina nishangaza sana kuhusu serikali ya Tanzania,ata siku moja uwezi ukaona utalii wa Tanzania unatangazwa kwenye CNN au BBC sijui kwanini!?
Lakini wenzetu kama Misiri...
Sipendi siasa na sipendi. Hii ndo nini? ....kutokuwajibika kiakili na fikra muflisi!
Inabidi ukistaafu siasa umuungamie mwenyezi mungu. Na ili toba ikubaliwe ni lazima urudishe vile uliwaibia...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
TAARIFA KWA UMMA.
MABADILIKO YA SIKU YA TAIFA KUPANDA MITI
Serikali imebadilisha Siku ya Taifa ya Kupanda Miti kutoka Januari Mosi...
Leo nimepewa sijui niseme cd au dvd inayotangaza utalii wa Tanzania iliyoandaliwa na kutolewa na TTB. haifunguki wala huwezi kusoma hata data moja manually. Nimejaribu ktk devices mbali mbali...
MTANZANIA mmoja ambaye ni miongoni mwa mahujaji zaidi ya 1,500 waliokwishawasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hijja, amekamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Madina na kutozwa...
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema
Na Margareth Kinabo, Maelezo
KAMISHNA wa Nishati na Madini, Bashir Mrindoko amesema haitawezekana kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya kampuni ya IPTL, ambayo inaendeshwa kwa kutumia dizeli...
Rais Kikwete anahusika Richmond?
KWA wanafalsafa, nilishasema hakuna neno la bahati mbaya. Kila neno hutolewa kwa kukusudia jambo fulani, huwezi kutamka kitu fulani ukasema kuwa ni bahati mbaya...
Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini; Wakazi wa Mkoa wa Kigoma na wale waliojirani na mkoa huo wapo njia panda baada ya barabara kuu ya magari kuingia mkoani humo kupitia KIBONDO...
Kashfa ya Richmond: Ikulu yasema mapendekezo ya Bunge lazima kufanyiwa kazi
Na Ramadhan Semtawa
BAADA ya mkutano wa 17 wa Bunge la Muungano kushindwa kujadili ripoti ya utekelezaji wa...
Kwa wasiomfahamu Chimamanda ni mwandishi mashuhuri wa kiafrica. Kwenye hii link anaongelea mitazamo tofauti inavyoweza kujenga au kuharibu ukweli.
Baadhi ya vitabu vyake ni 'Purple...
This age-old question really has a simple answer. Attempts to answer it, however, and attempts to get around implications of the simple answer are often quite convoluted.
What Came First, the...
Ndugu zangu hali ya maisha ya mtanzania yanatisha,Kila mahali mitumba ,kila kitu mitumba BALAAAA KUBWA HILI !!!Taifa linaangamia kwa mitumba magonjwa mbali mbali ndani ya...
Je unajua jinsi ya kujilinda unapotembelea tovuti kama Facebook au hi5? Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo...
It makes one think and re-evaluate one's life and the blessings we have.... I know it did for me.....
VOTED THE BEST EMAIL OF THIS YEAR
If you think you are unhappy, look at them
If you...