Breaking News: Chama Cha Musharraf Chashindwa Pakistan

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,178
876
Breaking News kutoka Sky News ni kwamba Fidel Castro amejiuzulu urais waCuba na u-commander-in-chief wa jeshi la nchi hiyo (imebidi ni-edit heading baada ya kuona YeboYebo kisha-break hiyo news)
Pia huko Pakistan,chama cha Rais Musharraf kime-concede defeat katika uchaguzi nchini humo

Nadhani hizi ni habari za kisiasa ndio maana nimeziweka hapa.
 
eeeeeee mola..yaliyotokea Pakistan yatokee basi na Tanzania siku moja..

Yanakuja Mnyalu.Musharraf anaongoza nchi kwa mkono wa chuma lakini ameshindwa kuzuia nguvu ya umma.Huo ni mwanzo tu.Wind fo change will soon be blowing in TZ,hopefully!
 
eeeeeee mola..yaliyotokea Pakistan yatokee basi na Tanzania siku moja..

Ama kweli nguvu ya Umma ni kiboko? pamoja na kumkolimba mama wa watu, bado tu! Kweli nimeamini, kumbe hata Tanzania kuna siku tutaweza.
 
Breaking News kutoka Sky News ni kwamba Fidel Castro amejiuzulu urais waCuba na u-commander-in-chief wa jeshi la nchi hiyo (imebidi ni-edit heading baada ya kuona YeboYebo kisha-break hiyo news)
Pia huko Pakistan,chama cha Rais Musharraf kime-concede defeat katika uchaguzi nchini humo

Nadhani hizi ni habari za kisiasa ndio maana nimeziweka hapa.

Amazing!
Yaani Jenerali Pervez Musharraf, pamoja na kuvua gwanda na kukubali kuwa raia bado chama chake kimeshindwa? Duh! Nguvu ya risasi haizidi ile ya umma!
Natamani hii ingekuwa kwetu, bila shaka zile barabara za vumbi kwenda wilayani kwetu zingepata fungu.
Long live Tanzania.
 
ccm Wamepata Hii Habari?

Kwa nini wasiipate?
Kila lenye mwanzo huwa na mwisho, wanajiandaa kuondoka madarakani. Zamu yao imekaribia sana, kwa sababu kipimo wanachowapimia wenzao nao watapimiwa hicho hicho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom