CCM Kugawanyika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kugawanyika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mstahiki, Feb 15, 2008.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  E Lowassa kujitenga na timu yake CCM-Mtandao?Akigombea urais 2010 atapita?

  R.Aziz,Bw. Nazir Karamagi Dk. Ibrahim Msabaha,Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ,Joseph Mungai,Bw. Basil Mramba, Zakia Meghji ,Dk. Juma Ngasongwa ,Anthony Diallo,Bw. Harith Bakari Mwapachu,Ritha Mlaki, Dk. Charles Mlingwa , Abdissalaam Issa Khatib , Ludovick Mwananzila,Dk. Luka Siyame,Gaudence Kayombo ,Zabein Mhita na Daniel Nsanzugwanko.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,668
  Trophy Points: 280
  Wacha alinacha zako! Watanzania sio wajinga kiasi hicho. CCM kimeshajulikana kama ni chama cha mafisadi na hao uliowataja hapo juu wameshakuwa history katika anga za siasa watafute shughuli nyingine ya kufanya.
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana nawe Bubu huyu jamaa msitahiki ni mzushi tu kila mara .
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  jee unajua kuwa CHADEMA

  NI CHAMA CHA DOMO KAYA NA ENDELEZO LA MAJUNGU
   
 5. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  haya ndiyo maneno ambayo viongozi wa ccm waliyasema kuhusu CHADEMA wakati kashfa za BoT, richmonduli, buzwagi, nk zimeanza kushikiwa bango na CHADEMA.

  Lowasa alianzisha kampeni nchi nzima ya kuwaambiwa wananchi kuwa chadema ni chama cha domo kaya na endelezo la majungu oooppppsss kumbe haya ndiyo maneno umetumia hapa?!

  Nadhani sasa hivi nchi hiyo inayojulikana kama Tanzania imethibitishiwa kwa uwazi kabisa kuwa ni chama kipi kati ya ccm na chadema ni cha majungu na domo kaya na UFISADI
   
 6. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Elezea uzushi wenyewe
   
 7. senator

  senator JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  tehe tehe so na JF ndo makao makuu yao kuendeleza mjungu??
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2008
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,289
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Kama Lowasa ana washauri wazuri ni vema aachie na ubunge pia. Kwa hali ilivyo sasa hivi, itabidi Lowasa awe na ujasiri wa kiibilisi kuweza kusimama bungeni na kuchangia mjadala wowote utakaokuwa unaendelea. Kwa waliomwona siku analalama kabla hajatangaza kuwa amemwomba Rais ajiuzulu, midomo ilimkauka kabisa na kama si Sitta kuingilia kati kumwokoa baada ya Seleli kumtaka athibitshe magazeti ya udaku yaliyotumika kama ushahidi, huyu mzee alikuwa anakwenda kuanguka chini.
  Hata hawa wanaompamba sasa hivi kuwa alikuwa hodari na sifa nyingi asizostahili soon wataachana naye.
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa vyovyote vile Thread hii haina TIJA... mimi simo!!!
   
 10. M

  Masatu JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tehe tehe tehe!
   
 11. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mtu wa Pwani,
  I like it, nadhani umeamua kuvunja ukimya. Mimi binafsi nachukizwa na huu mtandao wa uliopo humu ndani ya JF. Nafikia mahali napata hisia labda JF imetiwa mfukoni mwa CHADEMA na huenda ni mfadhili mkubwa wa JF.
  Kuna ufisadi mkubwa sana unafanywa na baadhi ya JF members humu ndani tena kwa baraka za PainKiller.
  Kwa mfano, fuatilia postings za Mstahiki jinsi zinavyoyumbishwa.
   
 12. M

  Malila JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  wanaweza kugawanyika wakipenda, kwa sasa hoja ya msingi ni; tuwafanye nini hawa mafisadi tuliowakamata? Naogopa isije ikawa kashfa zote zilizoko ktk orodha ni hao hao. Ni vema Muungwana akasikia kilio chetu hawa jamaa wafilisiwe. Baada ya hapo ndio waanze kugawanyika kuunda NGO zao
   
 13. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2008
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hawa wote ni "SPENT FORCE", wamekuwa Redundant in politics. Hata waliobaki nao ni walewale tu ufisadi mtindo mmoja. Chama Cha Mafisadi, Chukua Chako Mapema, Chama Cha Magabachori. Kwa mtindo huu hata JK hachomoki; Time will tell.
   
 14. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2008
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Naona unaufurahia ule mtandao wa JK, Karamagi, EL, RA n.k. katika kutafuna pesa ya walipa kodi ambayo wewe huipati unaambulia peremende. JF kuwa mtandao wa CHADEMA hilo limesemwa sana tu hapa na wala sio geni. Wanapoishiwa hoja huleta viroja.

  Nyani atakomwa hapa hadi giladi.
   
 15. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Mkuu Gee,

  Hoja nzito hii, keep it up!
   
 16. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2008
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  UFISADI GANI UPO JF? NANI AMETUROGA SISI WADANGANYIKA HATA TUNAFANANISHA MIJADALA YA KUMKOMBOA MLALAHOI NA UFISADI KAMA WA IPTL; NETGROUP SOLN, RICHMONDULI, BoT; NBC; CITY WATER; SONGAS; KIWIRA; UKARABATI UKULU(KILA MWAKA BILLIONS OF SHILLINGS). I BELIEVE SOME PEOPLE DON'T HAVE CONSCIENCE, NDIYO MAANA WANAANDIKA KUWAFURAHISHA WALIOWATUMA HATA KAMA NDUGU ZAO WADANGANYIKA WANAKUFA HOSPITALINI KWA KUKOSA MADAWA, AJIRA MILIONI ZIMEGEUKA KITENDAWILI KWA SABABU BEI YA UMEME IMEKWENDA JUU NA WATU WAMEAMUA KUSALIMU AMRI. NAISUBIRI KWA HAMU SIKU ILE MDANGANYIKA ATAKAPOSEMA AMECHOKA, HATA SHOOT TO KILL HAITAZUIA UPEPO WA MABADILIKO. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 18. M

  Mkandara Verified User

  #18
  Feb 16, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Lowassa, R.Aziz, Nazir Karamagi, Dk. Ibrahim Msabaha, Kingunge Ngombale Mwiru, Joseph Mungai, Basil Mramba, Zakia Meghji, Dk. Juma Ngasongwa, Anthony Diallo, Harith Bakari Mwapachu, Ritha Mlaki, Dk. Charles Mlingwa , Abdissalaam Issa Khatib , Ludovick Mwananzila, Dk. Luka Siyame, Gaudence Kayombo, Zabein Mhita na Daniel Nsanzugwanko.

  Hawa wote ni Mamillionea waliotengenezwa kama ilani ya chama tawala ilivyosema..hata hivyo bado lengo ni tunahitaji mamillionea 100 by 2010, ktk jitihada za kuondoa Umaskini Tanzania.
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,668
  Trophy Points: 280
  Thank you! you made my day....that is why I love and addicted with JF...because of people like you who always say NOTHING but the TRUTH!
   
 20. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Aksante sana Mwanangu umeliona hilo..
   
Loading...