Haya yataweza kutokea kwetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya yataweza kutokea kwetu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fundi Mchundo, Feb 17, 2008.

 1. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Saudi Arabia to execute woman for 'witchcraft'
  Human rights group appeals to Saudi king to stop execution

  Kwa vile tunaangalia uwezekano wa kuanzisha mahakama za kadhi nchini mwetu nadhani ni vyema tukiangalia jinsi sharia inavyotekelezwa katika nchi nyingine. Tutaweza kufanya nini ili nchi yetu isiingie katika mkumbo huo? Hivi ni kweli kuwa hukumu kama hii iliyoainishwa hapo juu inaendana na Sharia? Kwetu sisi ambao si waislamu, tutahakikishiwa vipi kuwa hio mahakma ya kadhi haitatufikisha huku? Kwamba si mwanzo wa kudai hukumu kama hizi zitekelezwe kwa waislamu watanzania? Ukiangalia jinsi imani za uchawi zilivyoshamiri katika jamii yetu.
   
Loading...