Jamani toka Viwanja vya Ikulu hapa nimeshuhudia mahojiani na baadhi ya Mawaziri wa JK .Nimewasikia wote kuanzia Seif Khatibu, Simba , Ghasia , Ngeleja nk .Sikujua kama Sofia Simba na Ghasia ni watupi kiasi hiki .No wonder tunalia Amani na Utulivu.Mtu anaulizwa juu ya Utawala bora anasema ni Funds allocation .Nimeshangaa nimeona wacha niseme mnisaidie kuelewa hawa ndiyo mawaziri JK anategemea kusaidia Taifa hili ? Ghasia n Mtupu na hata Seifu sikuelewa anaongelea nini maana hawajibu maswali wanatoa maelezo ya kujipongeza .