mrisho shabani
Member
- Feb 11, 2008
- 14
- 0
Wana JF
Taarifa tulizopata kwa wiki hii nzima hasi leo, zomebainishwa yafuatayo:-
1. Lilian Mashaka amekuwa akitoa mambo yanayohusu TAKUKURU na Hosea ili akamaate uongozi wa TAKUKURU,
2. Lilian Mashaka alikuwa na uhusiano wa karibu na KAMAZIMA ndiyo akajiandaa kumrithi,
3. Mwarabu aitwaye AWADH MOHAMED amekuwa akitumiwa na mama huyu kummaliza Hosea,
4. Kuna waandishi wa habari kumbe ni wanaJF wametoa habari hizi tata kwenye mtandao huu kwenye hoja ya 'HOSEA ATAKWEPA DHAMBI HII?',
5.Vita ya rushwa pia imeiingiliwa na wabunge wenye tuhuma kwa TAKUKURU,
6. Kuna uhusiano kati ya Mashaka, Awadhi, Mahalu na Mwakyembe.
7. Hoja zilizotokana na hoja ya 4. hapo juu, imekwama baada ya watu kushindwa kutoa kifungu cha sheria ya kuzuia rushwa kinachoongelea HARUFU NA KIWINGU CHA RUSHWA kwa mjibu wa sheria ya 1971,
8. Kama si majungu, Dr Mwakyembe ameshindwa kutupatia orodha ya watuhumiwa wa rushwa na kwa taarifa yake makini,
Wana JF tujadili kwa makini maana tunaweza kujenga na kuibomoa TAKUKURU na inawezekana RAIS JK naye akawa ni mwana JF mwenzetu pia.
Karibuni kwa hoja.