Udsm dons government under censorship | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm dons government under censorship

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpambanaji K, Jan 2, 2010.

 1. M

  Mpambanaji K Member

  #1
  Jan 2, 2010
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Habari kutoka UDSM zinasema kuwa wahadhiri wote wenye tabia na msimamo wa kuikosoa serikali wataanza kushughulikiwa ikiwa ni pamoja na kuondolewa kazini. Na kwamba ukondolewa kwa Prof Baregu ulikuwa ni mwanzo wa kutekeleza agizo hilo. Wengine walioshughulikiwa kwa kunyimwa mkataba ni Prof Kanywanyi ambayo 'kosa' lake kubwa ni kuwa mwenyekiti wa chama cha wanataaluma wakristo,waliondika waraka wa wakatoliki. Wengine ambao wako kwenye pipeline ni Dr.Lwaitama, Dr.Mvungi wa sheria na wengine.

  Inasemekana kuwa kazi waliyopewa utawala wa chuo ni kuangalia ni nani mkosoaji mkuu wa serikali na namna gani ashughulikiwe.


  Kama habari hizo ni kweli naona chuo chetu cha umma kinaelekea ukingoni kufa maana bila academic freedom hakuna university worth a name. Many dons we have talked to, are planning their way out of UDSM after retirement for fear of udhalilishaji

  Hizi ni tetesi mwenye data na walionchini na hasa pale chuo watuhabarishe
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kuna uwezekano mkubwa hilo jambo likawa ni sahihi. Siku zote kiongozi dhaifu, asiyejiamini, huwachukia wanaomkosoa na huwahofia kwamba watampinga. Na njia pekee ya kujihami ili wasikosoe uoza wake huwa ni kuwaharibia maisha yao, kuwachafua kupitia vyombo vya habari na hata kuwaua kabisa. Nafikiri katika serikali zilizowahi kuwa madarakani, hii ya sasa inaweza kuwa ndo the weakest. So siajabu kama itaamua kupambana na yeyote anayeipinga kwa njia yoyote ikiwemo ya ushirikina kwa kupitia akina Yahya Hussein, vitisho, kukolimba na hata kuwanyima watu ajira plus kuwaharibia biashara zao. Sitashangaa kama serikali inapanga kufanya hivyo.
   
 3. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi University of Dar es Salaam Act inasema nini juu ya uwezo wa Senate kuteua wahadhiri na kuwapandisha cheo?

  Kama hawa ni wasomi wa juu kabisa, kwa nini wasing'ang'anie strict interpretation of the Act? Hata hao waliofukuzwa hawawezi kwenda Kortini kuhoji uhalali wa Serikali kuingilia mambo yaliyo dhahiri katika Sheria inayohusu Chuo Kikuu?
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kilasara,

  Sheria huwa inakuwa na maana tu pale serikali iliyopo madarakani inaheshimu sheria lakini kwa tanzania sheria zinafuatwa pale tu zinapokuwa zinawabana wanao kosoa serikali lakini zinapokuwa dhidi yake huwa zinakiukwa tu tena bila woga.
   
Loading...