Soma yaliyomkuta dr slaa......uwe makini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma yaliyomkuta dr slaa......uwe makini.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by babukijana, Dec 29, 2009.

 1. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.

  Nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari Dr Slaa (MP-Karatu) kupitia CHADEMA akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email. Hususani email yake binafsi ya Yahoo.

  Juzi nilimsikia Dr Slaa akilalamika kuwa marafiki zake wengi sasa wamekuwa wakipata emails kutoka kwake zikidai eti amekwama kule Lagos, Nigeria na hana hata senti ya kulipia hotel---hivyo, anaomba atumiwe dola kama 2,500 hivi..n.k..nk

  Kusema ukweli, kilichommaliza Dr Slaa, pamoja na marafiki zangi wengine tu wengi ambao nao wamesha"lizwa" namna hiyo hiyo, ni kuhadaika na kujaza (kujibu) email ifuatayo hapo chini.

  Basi!!. Hakuna kingine. Huyo ndio adui wa Dr Slaa, na si vinginevyo. So, yeyote atakayepata emil kama hiyo, aipuuzilie mbali..na kui delete fasta fasta.

  [​IMG]

  Pole Dr Slaa...pole rafiki yangu George...Charles..n.k

  A S Kivamwo
  www.ajaat.or.tz
  Tel. 0786 300219

  ********************************************************************************
  Yahoo Alert: Your Account Information Has Changed
  Dear Valued Member,

  Due to the congestion in all Yahoo!users accounts, Yahoo! would be shutting down all unused accounts. In order to avoid the deactivation of your account, you will have to confirm your e-mail by filling out your Login Info below by clicking the reply button. The personal information requested are for the safety of your Yahoo Account. Please FILL all information requested.

  User name: ............................................
  Password: .............................................
  Date Of Birth: ........................................
  Country Of Residence: ...........................


  After you must have followed the instructions in the sheet, your Yahoo! account will not be interrupted and will continue as normal. Thank you for your usual co-operation. We apologize for any inconvenience.


  Yahoo! Customer Care

  Case number: 8941624
  Property: Account Security
  Contact date: 12-31-2009

  HUYU BWANA AMEELEZA UKWELI KABISA MAANA HATA MIMI YASHANIPATA HAYA NIKAJAZA HAPO NA TOKA SIKUHIYO NIMEPOTEZA HIYO MAIL ADDRESS NA JAMAA WAMETUMIA CONTACT WALIZOKUTA HUMO NDANI KUWATAPELI NDUGU NA MARAFIKI,KWAHIYO WANDUGU KUWENI MAKINI,UKIIONA HIYO MAIL YA WARNING TOKA KWAHAO WANAJIITA YAHOO CUSTOMER CARE USIIJAZE IPUUZIE,VINGINEVYO UMELIWA
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,734
  Trophy Points: 280
  nimekusoma mkubwa.........
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  Asante for the warning.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,127
  Trophy Points: 280
  Halafu kambinu hako ni ka zamani sana,
  sijui kwa nini bado kanaendelea kutamba
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,734
  Trophy Points: 280
  LABDA KWA SABABU KANATUMIKA KULE AMBAKO HAKAJAINGIA......... NA KWA WALE AMBAO HAKAJAWAKUTA...........teheee teheeee
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu unatakiwa kutoa jina la huyo mtu pamoja na namba zake za simu hiyo ni mambo yake ya privacy na mtu alivyotuma ujumbe huo sehemu ile alitegemea privacy yake kulindwa naomba utue hiyo no ya simu na jina kama wengine wanavyofanya

  thanks
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Slaa na ujanja wake wa kulipua mabomu kaingizwa mjini?
   
 8. B

  Bull JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui huyi Sla anaishi wapi! vitu vya kizamani kama hivi hajavielewa? inaonekana bado mbumbumbu sana, tukimuachia nji hii ya tanzania si ndio tutakwisha? NooooooooooooooooooooooooooooChademaNooooooooooooooooooooooooo!
   
 9. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mbona kuingizwa mjini ni kitu cha kawaida tu,kwani Dr si binadamu kama binadamu wengine?
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  kitu gani hakijaeleweka hapo mkuu?habari imetolewa kama mwenyewe alivyotaka isomwe,asingetaka no ya simu itoke asingeweka,unajua vipi kama ana biashara na anataka jamaa wawasiliane nae?on top of that hii habari imekopiwa kwa shigongo ikiwa kama ilivyo,usitake kuniambia kwamba mtandao wa global publishers unasomwa kwa siri,nenda
  tafuta hiyo habari http://global publisherstz.com kisha niambie kama nimeongeza au kupunguza neno hapo
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hili tatizo lipo zaidi ya miaka mitano sasa! Sasa Slaa na ujuaji wake wote, kaingia kichwa kichwa. Ni jambo la kustajabisha sana kumtokea mjuaji kama huyu!
   
 12. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #12
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe unamkubali, yaelekea mabomu hayo huwa yanakuuma, Poooooleeee!
   
 13. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2009
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  I dont see any logic behind this thread, mbona hizo email zipo nyingi hata mimi nikitaka ni-pest kwajina lako naweza. Halafu source zenyewe hazieleweki, inamaana wewe umeambiwa na aliyetuma email kwa Slaa au umetumiwa na rafiki wa Slaa. Halafu Slaa amelizwa vipi kaibiwa au akaunti yake imeingiliwa na ni akaunti ipi ya Tanzania au ya nje kama anayo. I think this is old fashioned politics and very cheap.
   
 14. w

  wasp JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kibunango unashangaa Dr. Slaa kuingizwa mjini? Mbona Muungwana aliingizwa mjini pale Arusha alipofungua hoteli ya kimataifa iliyojengwa kwenye eneo la barabara. Hata Sheikh Yahya nae kamwingiza mjini kwa kusema mtu yeyote atakae chukua fomu za kugombea urais atakufa!
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  duh hii noma nyingine tena sasa utapeli unapanda kasi duniani
   
 16. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  babu hii tunapeana hints tu watu wajihadhari kama wakiipata,mwandishi aliyeweka nadhani amehisi kama dr slaa alijaza then jamaa wakamuibia password na ndio hao wanaotumia mail yake kwawatu wake wa karibu kuwaomba pesa wakijifanya ni dr slaa,hapa imefikishwa kwani hata mimi nilifungua tread kipindi cha nyuma kulalamika kuibiwa password na jamaa kuitumia kuwatapeli ndugu zangu na jamaa wa karibu,mbaya zaidi walifanikisha mara mbili.kwahiyo hamna politiki wala nini tunafahamishana tu,zingatia mi si mpenzi wa siasa na siifuatilii,HAPPY NEW YEAR
   
 17. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Nilishapata ujumbe kama huu kutoka Ufilipino ukinitaka nitume US$1,000 kwa mkurugenzi fulani wa Human Rights NGO hapa Tz na ulikuwa unaonesha kama ni kweli vile. Nilichofanya ni kwenda ofisini kwao na kuuliza kulikoni lakini niliambiwa ni message ni feki.

  Hivi karibuni, nimepata ujumbe mwingine, ukiniomba nimsaidie classmate wangu, ambaye sas ni Catholic priest (nadhani yuko nje kimasomo), kiasi kama hicho pia. Nilichofanya ni kutuma hiyo message kwa classmates wote (maana tuna mtandao wetu na tunajuliana hali na kuhabarishana). Kama hujawahi kuupata, unavyoandikwa utadhani ni kweli kabisa na kama usipoangalia na una hicho kiasi kianchoombwa unaweza kutuma kabisa.

  Kuna msema kwamba 'there're many ways of skinning a cat' - kwa hyo, matapeli nao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kutafuta fedha. Cha ajabu ni kwamba wahusika (wanaoomba huo msaada) mara nyingi ni watu amabo unawafahamu na inatokeaje, mfano, mtu kujua e-mail yako bila wewe kuwa na mawasilaino naye, hapo sijui kwa kweli!
   
 18. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  kaka kinachotokea!hao jamaa hawakujui wala nini,ukijaza hayo maswali hapo unakuwa umewapa password yako,wanachofanya baada ya hapo,wanabadilisha password,halafu wanaweka yao then wanatuma mail kwenye contact walizokuta kwenye hiyo mail wakijifanya ni wewe unahitaji msaada umekwama mahali,mimi yamenitokea nikapuuza,ndugu zangu wawili wakalambwa mshiko mi sina taarifa,aliyenipa habari rafiki yangu mmoja maana jana yake nilikua nadance nae then jamaa asubuhi wakamtumia email*ooh mimi niko scotland nimekwama sinakitu nitumie pound 1000*akashangaa usiku wote kaniona then namwambia niko scotland nimekwama kivipi?alichofanya alikejeli na badae akanipigia simu kuniambia amejibu mail yangu kimatusi wale jamaa wakamtumia mail kwamba ooh jamaa kashasaidiwa hayupo hapa tena,bro mpaka sasa hiyo email ndio ilikua tegemeo langu sikujua haya,nimepoteza acc no,picha,password zangu zotee,mpaka ya blog yangu wamebadilisha na document muhimu sana,ni vyema tukajulishana tu
   
 19. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Hilo limewatokea wengi tu hata mimi nimewahi kutumiwa email ya jinsi hiyo kitu cha msingi ni kuwa mwelevu unapo ambiwa ndugu yako ka kwama mahali si ujiulize kaenda lini huko na kama ni ndugu wa karibu nadhani utakuwa unajua safari zake. Ujumbe niliotumiwa ulimhusu dada yangu kuwa amekwama uingereza nimtumie pesa za msaada nilimtafuta mara moja na nikampata akiwa nyumbani hivyo nikajua kuwa hawa ndo wale wale matapeli tuwe waangalifu.
   
 20. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa aache kufanya kila kitu ni siasa
  Sasa hivi ujanja/wizi kwenye mitandao imekidhiri. Hata wale ambao wametangaziwa magari mazuri kwa bei rahisi mtandaoni wameliwa sana. Mimi vilevile kama miezi 4 iliyopita yalitokea kama hayo kuwa nimekwama lagos pasi yangu pamoja na pesa zimeibiwa na nimezuiwa hotelini mpaka hapo nitakapoweza kulipa bili hivyo rafiki zangu waliombwa nami msaada wakati mimi mwenye niko hapa hapa bongo.
  Cha msingi ni kama ushauri uliyotolewa aache kurespond email address za asiowafahamu na kutoa details zake. Tamaa ni kingine kinachoingiza watu mkenge maana unaweza kupata email kuwa umeshinda $$ meing kwenye lottery fulani ambayo hata wewe huijui na ukaombwa utoe details zako pamoja na bank a/c ili uweze kupata donge lako ukijibu umeliwa. TAMAA IMEMPONZA FISI
   
Loading...