Watazamaji wa mbio za magari za Dakar huko nchini Argentina wameparamiwa na gari na kusababisha kifo. Hii ni kama iliyotokea kule morogoro maeneo ya mikese na kuua watoto 4. Soma zaidi kwenye link hii ifuatayo:
http://www.cnn.com/2010/WORLD/americas/01/02/dakar.rally.death/index.html
http://www.cnn.com/2010/WORLD/americas/01/02/dakar.rally.death/index.html