Wapi wameandika mapenzi ya MUNGU mtu kufa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi wameandika mapenzi ya MUNGU mtu kufa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 31, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Tumekuwa tukisema kila saa amekufa kwa mapenzi ya mungu bwana ametoa bwana ametwa lakini sijapata kuona sehemu inasema ni mapenzi ya MUNGU mtu kufa,...nikaona tusaidiane jamani kuelimishana hili..na kama sio
  KIFO ni mapenzi ya nani??
   
 2. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maandiko yako mengi sana.

  soma sura nzima ya kwanza ya kitabu cha ayubu kwenye biblia kwa kuazia
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mimi kuna mahali niliwahi kusoma pameandikwa "hakika utakufa" na ni Mungu ndio alisema sasa sijui hiyo ndio inaitwaje kama ni mapenzi au matakwa
   
 4. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,718
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  Mungu alisema nishukuruni kwa kila jambo kwa hivi hata kifo ni mipango yake kwa hivi hatuna budi kumshukuru yeye kwa hilo kwani ni mapenzi yake
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mungu basically ni idea fulani hivi ya kitu ambacho hakipo.

  Societies primitive zilipokuwa zinashindwa kuelezea kitu chochote kile, iwe radi, mvua kifo etc, zilisema kwamba hiyo ni kazi ya mungu.

  Jinsi tunavyoelimika zaidi tunaona kwamba mungu hayupo, ni hadithi tu za watu wa kale ambazo ni ngumu sana kuziacha kwa sababu ya tradition, na sisi binadamu tunapenda kuwa na matumaini kwamba kuna kitu kikubwa zaidi yetu kinatulinda na kutuangalia, hasa kwa sababu tunalelewa na wazazi tangu watoto.

  Lakini regardless ya vitabu hivi ancient vinasema nini, mungu ni idea iliyotengenezwa na binadamu, hayupo na wala hajawahi kuwepo.

  Ndiyo maana kuna controversies nyingi sana kuhusu mungu, kwa sababu waliomtunga waliishi katika ulimwengu wa giza na hawakuweza kujua mambo mengi sana tunayojua leo.

  Ukijua kwamba mungu hayupo hizi habari za mungu kamtwaa nani sijui nini wala haziwezi kukubabaisha, utajua tu watu wanakufa kwa ugonjwa wa moyo, na ajali za gari, na risasi, na wengine ni the breaking down of the body due to age according to the laws of entropy and the second law of thermodymanics, hamna cha mungu wala shetani.

  Sanasana mungu na shetani ni wewe mwenyewe binadamu, na mbingu na moto viko hapahapa duniani, na kifo ndio mwisho wa mchezo kwako.
   
 6. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona umefika "mwisho wa lami" pole sana, ila tafadhari usipotoshe wengine
   
 7. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Baba Pumzi zinakudanganya lakini hatuna hasara kukusikia ukijinyea ovyo kwani ulichooandika ni kinyesi.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kinyesi kikubwa ni kusema mwenzako kaandika kinyesi bila kuweza kuelezea ukinyesi umekujaje, yaani umshindwa kukionyesha hata kinyesi kwamba ni kinyesi kwa hoja, umekuja dismissive tu.

  Yaani hicho ni kinyesi cha mwisho kabisa katika vinyesi vyote.
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hata Galileo Galilei naCopernicus walipokuwa wanawaambia watu kwamba dunia ndiyo inazunguka jua (Heliocentrism) na si kweli kama ilivyoaminika siku hizo kwamba jua linazunguka dunia (Geocentrism) kanisa katoliki lilisema wanapotosha watu.

  Leo miaka mia kadhaa baadaye dunia nzima imejua ukweli walikuwa nao kina Galileo.

  Vivyo hivyo katika hili swala la kuwepo kwa mungu, miaka 500 baada ya leo, kama dunia itakuwapo, tutaona kuamini mungu ni sawa sawa na wale watu wa zamani walioamini jua linazunguka dunia, au hata wale wanaoamini kwamba dunia si mviringo.

  Kuna idea nyingine huwa zinakuja kuwa tofauti sana na tulivyozoea, kufundishwa na kukulia kiasi kwamba tunahitaji miaka mia kadhaa kuzikubali.

  Lakini kuna wengine huweza kuelewa mapema kabla ya wengine.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Jan 1, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,873
  Trophy Points: 280
  Mungu alishasema watu watakufa kimwili, ila kuna vifo vya aina mbili kuna vya kiroho na kimwili. aliwaambia adam na hawa wakilatunda watakufa, na walivyokula wakafa ghafla?? yes walikufa kiroho kwanza next kimwili

  30 "That is why I will judge each of you by what you have done, people of Israel," declares the Almighty LORD. "Change the way you think and act. Turn away from all the rebellious things that you have done so that you will not fall into sin. 31 Stop all the rebellious things that you are doing. Get yourselves new hearts and new spirits. Why do you want to die, nation of Israel? 32 I don't want anyone to die," declares the Almighty LORD. "Change the way you think and act!"

  Mungu hapendi kifo cha mwenye dhambi, ila akifa hana dhambi to him is good! why

  PLAN B of God after human failure is paradise,

  "For God so loved the world that he gave his one and only Son,[a] that whoever believes in him shall not perish but have eternal life. John 3:16

  Mpokeeni Yesu awe mwokozi wa maisha yenu
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mama mia hii ni injili mfu inayosema kifo ni mapenzi ya Mungu.
  Mungu wetu ni mzuri hapendi tufe bali tuishi milele.
  Lakini tunakufa kwa ajili ya dhambi maana mshahara wa dhambi ni mauti.
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wabs,

  As a scholar, naomba unipe perspective yako.

  Kama mungu huyu wa Judeo-Christian tradition ana uwezo wote, na ana upendo wote, na aliweza kuuumba ulimwengu huu vyovyote vile alivyopenda, kwa nini kaumba ulimwengu wenye evil?

  Ina maana alilazimika kuuumba ulimwengu huu na hii evil, au hakulazimika?

  Kama alilazimika, je kweli huyu mungu anaweza kila kitu?

  Kama hakulazimika, kwa nini kauumba ulimwengu wenye evil? Huoni kwamba kaumba ulimwengu ambao inevitably some of us tutakuwa overwhelmed na the forces of evil?

  On that same question, je mungu aliweza ku create kitu asichoweza ku create?

  Kama aliweza, doesn't that mean kwamba kuna kitu hataweza by virtue of the fact that he created something that he cannot create?

  Kama hawezi je kweli huyu mungu anaweza kila kitu?
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  watu kama nyie wala amfundishiki yesu alisema
  waache wafu wazike wafu wao pole ndugu
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280

  1korintho 15:51-57

  angalien ninyi nawapa siri hatulala wote lakini sote tutabadilika kwa dk moja kufumba na kufumbua wakati wa parapanda ya mwisho itakapolia wafu watafufuliwa na kuvikwa kutokuharibika

  1 kor 15:21-25

  lakini sasa kristo amefufuka kutoka wafu,
  "maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu "kadhalika na kiyama ya watu ililetwa na wafu,
  kama katika adamuwote wanakufa kadhalika katika kristo wote wanaihuishwa

  ukisoma hapo juu tunaona mauti imeletwa na mtu na sio MUNGU tunavyomsingizia si mapenzi ya mungu kumleta mwanae na kisha kumuua
  hiyo injili mbofu mbofu tuachane nazo jamani
   
 15. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  we kasimame mbele ya treni; jirushe kwenye mkusanyiko wa papa; au karande serengeti ukutane na simba alafu piga rambi rambi zako kwa mungu auko tayari kuondoka ndio utajua kifo ni kazi ya nani. haya mambo haya
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Mbona ushajijibu mpendwa

  kwa maana mshara wa dhambi ni mauti
   
 17. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama mshahara wa dhambi ni mauti, mbona wenye dhambi nyingi bado wanaishi katika sehemu mbali mbali duniani ikiwemo Tanzania?
   
 18. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio maana nasema una uelewa mdogo. ushahidi unazidi kuongezeka wa maoni yangu uu ya uelewa wako. unaonekana unamuona Mungu kama Fundi fulani hivi! pole sana
   
 19. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama mia huyu mtu (bluray) anafundishika.

  manake siamini kuwa haya anayobwabwaja hapa jamvini alitoka nayo tumboni mwa mama yake, lazima kuna mahali alifunzwa na kufundishwa. anachokosea njia ni kwamba kawaamini waliomfundisha hadi kawafanya miungu yake ya maarifa na wakati huohuo akijicontradict kuwa hakuna mungu. jinsi anavyowaamini wanafalsafa, nadhani kama wangekuwa mashoga (ashakum si matusi) nae angekuwa shoga (kama si shoga kwa sasa).

  manake anachukua kila kitu tena from the face value, bila ku-digest na ubongo wake. ubongo wake wa thamani kaupeleka likizo ya muda usiojulikana bila sababu yoyote. na kutokana na likizo hiyo sasa anasambaza upuuzi wa kukosa fikra huru humu jamvini,

  ndio maana nasema tumuombee na kila tukipata fursa tusiogope kumfundisha walau kidogo. anafundishika huyu!
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Imeandikwa uu mavumbi wewe na mavumbini utarudi
   
Loading...