Nafikiri kutokuwa na wazo tu, lakufanya kitu kama wanavyofanya Rwanda (angalia hapo chini), inaonyesha jinsi tulivyo nje ya muelekeo sahihi!
Urban planning experts from Singapore and the US in...
Swaziland king celebrates in style
BBC News Online
One of the world's last remaining absolute monarchs, King Mswati III of Swaziland, has held lavish celebrations to mark his 40th birthday...
Duh ishakuwa soo....dili lishabumburuka, kilichobaki ni kulala mbele tu...gademu
my daughter was used for a green card
By: wsamdbsma20 (Consumer)
Date: 8/17/2008 12:05:32 AM
Member Since...
NAAM, sasa nadhani nimejua kwanini kuna baa zinajengwa karibu na misikiti au kanisa; kwanini nguruwe wanafugwa jirani na Waislamu; kwanini magesti hausi yako nyuma ya makanisa na mambo kama hayo...
Na Ramadhan Semtawa
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imesema hakuna mtumishi wake miongoni mwa wanaotuhumiwa katika upotevu wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), atakayesalimika katika...
Ni jambo la kawaida kuona magari ya taka yakiwa yameharibika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, Moshi na hata Arusha. Magari hayo yanapoharibika hukaa kwenye eneo yalipoharibikia...
CCM wapiga marufuku takrima
Tausi Mbowe
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimepiga marufuku wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya jumuiya zake na wapambe wao kwenda mikoani na wilayani...
Serikali imepanga kupandisha mishahara mipya 20007/2008 ya watumishi wa umma kwa kiwango cha shilingi 5,000 mpaka 9,000 tu kwa kila mtumishi, wakati huo huo vyama vya wafanyakazi na watumishi...
Nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege...
Milioni Dar zabebwa mchana
2008-09-05 16:06:10
Na Sharon Sauwa, Ilala
Watu watatu wanaodhaniwa kuwa majambazi, wamevamia mchana kweupe katika ofisi za duka moja la vifaa vya ujenzi na...
..MOD naomba hata kama hii mada itabidi kuiunganisha ikae kwa muda......
wadau lengo la kuiweka hii thread tofauti kidogo na thread mama ..ni kuchokoza mada....
taarifa tunazopata kutoka...
Dont let unearned praises lead us down a slippery path
Young Kimaro
Daily News; Friday,September 05, 2008 @20:02
A LAW maker recently chided donors for having heaped praises on the Third...
Reggae is my Identity.
My Best Music is Reggae. This is music the music that I identify with and feel comfortable listening to it. I do find it educating and also representative to my background...
DV-2010 Lottery Starts Soon!
The DV-2010 Lottery begins at Noon EDT on October 2, 2008, and ends at Noon EST on December 1, 2008.
You can visit http://www.dvlottery.state.gov...
Nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege...
Matukia ya shule za bweni kuungua moto yanazidi kuongezeka nchini, jambo linalotia wasiwasi wazazi ambao wanapenda watoto wao wasome shule za bweni. Yapo matukio mengi ya shule kuungua...
Hali ya hewa katika jiji la Dar es Salaam ni ya mvua ya rasharasha. Haieleweki ndio mvua masika inaanza au nini? Kama ndio masika watu wa hali ya hewa waanze kutoa tahadhari kwa watu wa mabondeni...
ZIPO hisia kuwa imefikia wakati wa kuchambua na kunyambua ni nini hasa wabunge wa Bunge linaloitwa la Taifa wawe wanazungumza wanapokuwa wanalipwa posho nono wakati wa vikao muhimu vya kitaifa...