PATA WAZO, Je ni lini tutaanza kuanza kuelekea kuliko sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PATA WAZO, Je ni lini tutaanza kuanza kuelekea kuliko sahihi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by selemala, Sep 7, 2008.

 1. selemala

  selemala Senior Member

  #1
  Sep 7, 2008
  Joined: Feb 14, 2007
  Messages: 139
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nafikiri kutokuwa na wazo tu, lakufanya kitu kama wanavyofanya Rwanda (angalia hapo chini), inaonyesha jinsi tulivyo nje ya muelekeo sahihi!

  Urban planning experts from Singapore and the US in Kigali

  A team of urban planning experts from Singapore and the US are in Kigali city to work with the city urban planning technicians in developing the detailed physical plans for the different zones of Kigali city.

  The expert are from SCE Surbana and OZ Architecture from Singapore and the US respectively.

  Their work is part of the implementation of Kigali city master plan which was approved by the cabinet meeting early this year.

  The present master plan is a conceptual one which focuses on the broad guidelines toward planning for Kigali City for the next 50 years. The visit by these experts starts the process of making detailed District Physical Plans that will clearly outline the detailed use of city land, assign standards by which we must develop and outline the infrastructure, physical and social amenities that will be provided in these planned areas.

  OZ Architecture is the company that developed Kigali city’s conceptual master plan.

  Fuatilia Zaidi

  http://www.kigalicity.gov.rw/spip.php?article493
   
 2. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kufika Kigali lakini kuna ndugu zangu wananiambia ni kusafii sanaa. Sijui Bongo tutaanza lini japo na usafi tuu (kama utamaduni kwa watu)
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Penye nia pana Njia.......Rwanda wana nia ya KUIENDELEZA RWANDA YAO.......no blah blah....watch da pace my brother
   
 4. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Dawa ni kuweka viongozi kwa wito na si kwa kama walioko sasa ambao wamewekwa kwa muundo uliokwepo wa kutokana na kusoma na nafasi zilikuwa wazi sasa wa-compete kiwito na si kwenda kwa fedha, tamaa, kutaka kujulikana, nk TUANGALIE WITO JAMANI 2010!
   
 5. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  pamoja na kupigana kote kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo, Rwanda imeshatuacha mbali sana...! Kwanza kiuchumi hela yao iko juu kuliko Shilingi yetu ya Tanzania, pia, wana uongozi unaothamini mchango wa kila mtu, haswa vijana ambao wananguvu na mawazo mapya, na wamejitahidi sana kuwekeza kwenye ICT and science....!

  Sisi huku naona tunendekeza uchawi na ufisadi...! Poleni watanzania wenzangu...!
   
Loading...