Leo nimefungua ukurasa wa JF na kama kawaida yangu nikataka kutafuta posts mpya. Kwa bahati mbaya sikuiona button ya New Posts. Je mods mmeiondoa kwa makusudi au imepotea tu? Kama iliondolewa naomba irudishwe maana ndio inatuweka wengine uptodate.

We are all sailing in the same boat...Ni hivyo kila mahali.Sijui wameiondoa kimakosa, au ni hizi maintainance za weekends! Vinginevyo inakuwa ngumu sana kuflow kwenye majukwaa yote, na inaboa kidogo!
Hata mimi nimeikosa na inanilazimu kuflow kwenye jukwaa moja baada ya nyingine ambayo inaniwia vigumu kama kuna uwezekano naomba kile kitufe cha new post kirudishwe.Asante
Binafsi nilikuta hali hii kutokea jana lakini nikasema niwe msatahamilivu kwani hii site ni ya KITANZANIA now and than mambo kama haya kutokea si ya kushangaza ni mtu kuwa na subra tu (Wapishi wengi chakula ??)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.