FMES: Kwa Wana-JF! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FMES: Kwa Wana-JF!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Field Marshall ES, Oct 10, 2009.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Wasalaam ndugu zangu wote huku JF,

  - Nimekuwa nikipata sana ujumbe wa private wakuniulizia nilipo, ninasema hivi nipo isipokuwa majukumu ya maisha yamenizidi mno, nafasi yangu imekuwa ndogo sana hata kushindwa kuwepo hapa in full kama ilivyokuwa kawaida huko nyuma.

  - Otherwise, ninaiminia sana JF, kwamba siku zote ina wananchi wengi na hasa wapya pia, wenye nia na madhumuni yale yale yetu wote ya kumkoma nyani na kulisaidia taifa letu kiushauri, ili lijivute japo mbele kidogo. Sina uhakika itanichukua muda gani kumaliza projects mbali mbali nilizojiingiza nazo kwa sasa, ambazo zinanifunga sana kimuda, lakini ni muhimu sana nizifanye sasa kwa manufaa yangu ya baadaye, ili niweze kulifikia lengo langu la kulisaidia taifa letu kwa ufanisi zaidi.

  Nawatakia wana-JF, wote kazi njema na majadiliano mema na yenye faida kwa masilahi kwa taifa letu changa.

  Respect and Later!

  Field Marshall Es, ni Wazee wa Sauti Ya Umeme!
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tumekusoma bibie/kaka
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  JF bila FMES ni sawa na CCM bila tingatinga mazee... we miss you!!
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kampeni njema kamanda!
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Alaa! kumbe ni kampeni sio?
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  jihadhari na fedha za mwakalinga
   
 7. p

  p53 JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  TingaTinga na FMES ni kama baba na mwana...bwahahahahahahaa!
   
Loading...