US hopes to make 'flying submarine'
3 hours ago
The US military is turning to the realms of science fiction in a bid to invent a flying submarine, authorities said.
Designs for a...
Kwa taarifa nilizo pata sasa hivi wanafunzi wa CBE-Dar wamegoma kuanzia sasa.
Wanagomea matokeo ya supplementary wamefli vibaya mno kwa hiyo wamechukua uamuzi wa kugoma
wapendwa,
Nimekuwa iringa kwa wiki sasa, kitu kinachoniboa ni kwamba kila ifikapo jioni network ya tigo imekuwa ikisumbua. huwezi piga wala kupokea simu mpaka usiku sana. initially nilifikiri...
Unyama wodini!
2008-10-23 19:35:11
Na Emmanuel Lengwa, Mwananyamala.
Hassan Salum, mume wa mwanamke aliyeripotiwa juzi kupoteza maisha kutokana na kuchelewa kupewa huduma katika...
Wana JF,
Nimeona ni muhimu kupost thread hii ya kusikitisha kuhusu mwanafunzi wa kigeni aliyevamiwa na kuchomwa visu UDSM juzi.
Kitendo hiki kimetokea katika taasisi nyeti ya elimu, mahali...
Wana Jambo Forum naomba kudadisi yafuatayo kuhusu kampuni wakala za kuajiri (RECRUING AGENCIES):
1. Kwanini wakifanya mahojiano na wewe hawakuelezi kama umefanikiwa au lahasha?
2. Kwa nini...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Pius Msekwa, amesikitishwa na kiasi kikubwa cha fedha kilichotumiwa na chama chake; Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na...
Hivi...hawa wawekezaji ni kwaajili ya JK na wenzake au ni kwamanufaa ya wasio wanachi hii ambao wanajitutumua kwa kutumikishwa bila kulipwa malipo halali, nahao waalikwa wa Sirikali ya...
Licha ya msongamano wa watu na foleni za magari bado ipo sifa moja kubwa ya uchafu katika jiji la Dar es salaam. Ni sifa ambayo wengi wetu huisahau katika wasifu wa jiji hili la Dar es salaam...
Kampuni ya Zantel imepandisha huduma ya internet kutoka sh.50 kwa MB sasa imefika sh.120 kwa MB.
Sijajua wametumia vigezo vp kupandisha gharama kwa kiasi kikubwa nilivyo wapigia cmu wanadai...
Wakuu heshima zenu!
Nilishiriki kwenye mkutano fulani ambapo jamaa ambaye ana PHD kwenye engineering alitambulishwa kuwa ni Dr. J.J .. watu wakasema mbona hatumwoni akitibu wagonjwa! Ndipo...
Imetolewa mara ya mwisho: 22.10.2008 0005 EAT
Mafao EAC:Wastaafu sasa watishia kutumia makomandoo
*Waonya wataadamana hadi Ikulu zote
*Wataka Rais atumie uadilifu, uaminifu
Na...
John Mnyika
MAKALA ya mtazamo wa Thomas Ngawaiya, aliyejitambulisha kama Mkurugenzi wa Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo (CEGODETA), na kuchapishwa na gazeti hili Oktoba 21, 2008 si ya...
Shirika linallotambua ndoa za mashoga latua TANZANIA
Katika gazeti la Tanzania la Daily News tarehe 22 October 2008 Ukurasa wa 13 Kuna shirika linaitwa PADAIDS lenye website www.Padaids.org...
Mjumbe hauwawi !
Dear Satcom, Five months ago, I had a problem with the Company (SATCOM) as you could not be able to pay me when I was on my leave, and as a result I could not be able to...
Sera ya vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi inayolenga kuwaengua wananchi kutoka Tanzania Bara kuajiriwa Zanzibar, imezua mjadala mkali miongoni mwa viongozi wa vyama vya siasa na serikali, baada...
Date::10/22/2008
Wanaorejesha fedha za EPA watajwe
Maoni na Uchambuzi
Mwananchi
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo amefahamisha kuwa hadi sasa kiasi cha Sh61 bilioni kati ya Sh133...
23.10.2008 @03:35 EAT
EPA cash revovery setback
THE CITIZEN
By Mkinga Mkinga
Only Sh234 million has been recovered by the Attorney-General Johnson Mwanyika-led Bank of Tanzania...
By Martin Plaut
BBC News
Is the credit crisis about to send Africa into yet another downward spiral?
Perhaps not. In fact it is possible that the continent could fare better than the...
Periodically, e-mails warning of a scam involving calls from the 809 area code circulate. The e-mails contend that there has been fraud associated with unscrupulous pay-per-call operators in that...