ANAITWA DR. j.j! Ahh mbona hatibu watu!

Dec 23, 2007
23
0
Wakuu heshima zenu!
Nilishiriki kwenye mkutano fulani ambapo jamaa ambaye ana PHD kwenye engineering alitambulishwa kuwa ni Dr. J.J .. watu wakasema mbona hatumwoni akitibu wagonjwa! Ndipo professional engineer mmoja akaniambia kuwa kwenye hadhara PhD holder hastahili kutambulishwa kama daktari ni medical doctors tu ndio wanastahili kutambulishwa kama madaktari . Ila akiwa kwa fellow professionals ndipo atajulikana kuwa ni PhD holder ! Kwenye hadhara atatambulishwa tu kama engineer!
Nipeni maoni!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom