habari za asubuhi ndugu zanguni?
jana nilihudhuria ibada kwenye kanisa moja la kiroho lenye jina la kiingereza (kizungu)
ukafika muda ule wa kupokea miujiza yetu, mara wenye mapepo wakaanza...
Wakuu, hadi sasa hivi, Saa tano na nusu usiku saa za Africa Mashariki, Moro Road hakuna movement yeyote ile. Hasa kati ya Ubungo na Mbezi. Tatizo TANROAD WANAJENGA MATUTA maeneo ya Stop over na...
Tarehe 25/09/2009 nilikwenda Giraffee Hotel kwenye Miss Tanzania Talent show. Kulikuwa na washiriki 8 tu wa mashindano ya talent show kati ya 29:
1- alicheza kihindi
3- wakacheza ngwasuma
2-...
Kumekuwa na malalamiko ya kawaida ;ila napenda kuwauliza ni vigezo gani vinavyotumika kuteua majaji..tunaitaji majaji wenye moyo safi na siyo majaji ambao wanachagua tu kisa alitembea na mtu...
Mwenye uhakika atujuze,kwamba bank ya makabwela kupitia wafanyakazi wake wasio waaminifu wamekuwa wakipokea pesa bandia kutoka kwa watu wanaozitengeneza/sambaza na kuziingiza kwenye mzunguko wa...
Hey all,
For those who are interested in applying for the 2011 Diversity Visa Program (DV-2011) they can do so at http://www.dvlottery.state.gov/
The entry submission period for DV-2011 started...
Norway 'number one place to live'
Last Updated: Monday, 05 October 2009, 16:22 GMT
- Search: UN quality report
UN report says Norway has best quality of life on planet and Niger the worst...
4th October 2009
Mpaka wa Tanzania na Malawi wa Kasumulu uliopo wilayani Kyela mkoani Mbeya umezidi kuwa katika hali mbaya kiusalama kutokana na kukabiliwa na msongamano wa magari...
Waungwa nimesikia kuwa JWTZ imekuwa likipokea hati safi za Ukaguzi wa mahesabu toka kwa ofisi ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa siku nyingi pamoja na mambo na kashfa kibao.
MTOTO wa umri wa miaka 14 Samir Faraj Kheir anashilikiwa na Jeshi la Polisi kutokana na kumuuwa mwenzake Khalfan Zaidi Abadi (14) kwa kumlenga jiwe la kichogo na kumsababishia kifo hapo hapo...
Kampuni ya Simu za Mikononi VodaCom sasa hivi wanaendesha kampeni kabambe ya Tuzo Points. Kampeni hii inauhusisha mteja ku-redeem points zako na kuweza kupata zawadi mbali mabali kuanzia na SMS za...
Walokole wamehoji kama kuvaa suti na kuendesha mashangingi kwa Watz haulingani na umasikini wetu ni bora Waziri Mkuu aonyeshe mfano kwa kutumia bajaji badala ya mchuma wa bei mbaya.
By CELEAN JACOBSON
updated 4:03 p.m. ET Oct. 5, 2009
JOHANNESBURG - The Sudanese billionaire behind a lucrative prize to promote leadership in Africa on Monday condemned the killing of...
CUF watishia kujitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Tume ya Uchaguzi, (NEC).
Chama cha CUF kimetishia kujiondoa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
I don't remember what position we were ranked last year but apparently we are in the "Medium Human Development" category. I guess they did not see the picture of the school kids sitting on the...
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Watanzania kumpuuza naibu katibu mkuu wa CCM-Bara, George Huruma Mkuchika kwa madai kuwa hajui anachokifanya.
Mkuchika alisema wakati akihutubia sherehe za...
Na Tumaini Makene
MFANYABIASHARA maarufu wa Zanzibar, Bw. Mohamed Raza, ameibuka na kusema kuwa bila Bunge la Tanzania chini ya Spika Samuel Sitta kusimama kidete katika mambo kadhaa...
Wizara ya ardhi inayoongozwa na mseminari John Chiligati na Katibu Mkuu mseminari Salome Sijaona imepokea maelekezo kutoka uongozi wa juu wa makanisa kugawa viwanja kwa wakristo wengi iwezekavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.