tiGO sasa mnaboa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tiGO sasa mnaboa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PgSoft2008, Oct 21, 2008.

 1. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2008
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wapendwa,

  Nimekuwa iringa kwa wiki sasa, kitu kinachoniboa ni kwamba kila ifikapo jioni network ya tigo imekuwa ikisumbua. huwezi piga wala kupokea simu mpaka usiku sana. initially nilifikiri ni matatizo ya muda mfupi tu ila sasa nimejua kwamba ni serious issue.

  inaonekana kana kwamba mitambo imekuwa saturated na haiwezi kuhudumia idadi ya customer waliopo hasa wakati wa jioni.

  for the sake of retaining customers can they do something as we are all fed up.

  nwakilisha.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Move to Zain
   
 3. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135


  We acha tu TIGO ni bongo tu! sehemu nyingine ni noma sijui kama hawaijui hii naamini wanafahamu wameambiwa ili hawatekelezi sijui kwanini labda watupe sababu.Ukiwa mwanza hauwezi kutumia internet ya Tigo,Ukiwa tarime hivyohivyo msoma pia.
  Ili tatizo limeikosesha tigo mshiko mrefu mno maana kama mimi binafsi nilishindwa kuvumilia nikanunua line ya voda mpaka nilivyotoka huko ndo nikarudisha tigo.

  Wajirekebishe nafasi wanayo.Waige voda mbona voda na zain wanaiga mambo mengi kutoka tigo ,Kwanni tigo wananini?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sio tigo tuu ata Zain and I have reported it to them,Nina line tatu kwa jili ya unrelibility ya mitandao yetu hii apa Makambako hasa tigo na Celtel hovyo kbisa.
  Angalau voda inanitia moyo
   
 5. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2008
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nafikiri kama JF tuna wajibu wa kuwafahamisha uozo wao bila kuchoka mpaka hapo watakapo sema ukweli kuna tatizo gani.

  the issue is very open, mitambo yao (BS) haina uwezo wa kusuport customers waliopo huku mikoani, sina uwezo wa kutambua ina uwezo wa kusupport watu wangapi at a maximum ultilization. walio kwenye telecom industry they can esily put in parameters and do calculation and then easily tell us. kama hawawezi kusupport customers inabidi waseme.

  moving from one operator to another inahitaji muda, kwani vilevile inategemea una wasiliana sana na watu kutoka mtandao upi (cost issue).

  hii ina kera kera sanaaaa.

  Jirekebisheni jamani mtajiua wenyewe ni bora hata mimi nimesema how many are keeping quit and swap chips from tigo to any other operator.
   
 6. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2008
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Traffic jam hiyo! hata Zain wako hivyo, hakika tangia zianze prmotion za longalonga watu wengi husubiri hadi saa 12 jioni ili kupiga simu kwa gharama ndogo hivyo kusababisha traffic kubwa kuliko uwezo wa system yenyewe.
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unaweza kutoa namba yako ya simu na useme ulipokwepo customer care wa tigo atawasiliana na wewe muda si mrefu
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Oct 23, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  I see... That's interesting
   
 9. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu Shy hawa jamaa wa tiGo sijui tatizo lao ninini? Tumewaambia sana tu! yaani huko mwanza watu wanateseka sana hauwezi kuvumilia huduma iliopo uko tena Internet ndio usiseme kabisa kwa Bongo na baadhi ya sehemu aaahaa watu wanapeta tu na longa longa ila watu wa kanda ya ziwa duh! nawapa pole.
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unachotakiwa kufanya ni kuongea na tigo moja kwa moja bila kupitia hao jamaa wa 100 kwa sababu hao wa 100 wanatoa huduma tu hawajui chochote kuhusu mitandao hii na baadhi ya changamoto zingine , sawa na unavyoenda workshop ya computer unaongea na secretary unategemea nini toka kwake ? Ukiongea na technician atakusaidia na yeye ndio mwenye taarifa nyingi kuhusu kazi na vifaa vyake au sio ?

  Ndio kama hivyo
   
 11. Mkanya

  Mkanya JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2008
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli hapo umesema,hao wa 100, wanakuwa hawana majibu ktk maswali mengi.Nadhani udhaifu upo ktk wafanyakazi wa sehemu husika kwa mfano kama Network ya Manzese inasumbua na wafanyakazi wanaosimamia manzese wanapewa taarifa na hawafikishi sehemu husika(let say makao makuu au kwa Engeneer mkuu wa tiGO) na mwisho wa mwezi wanapewa mshahara basi hapo shida iko kwa wasimamizi wa kituo cha manzese ni wavivu au hawawajibiki*(mfano tu!)
   
 12. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2008
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sasa wakuu hizi comment nyingine sizielewi. yaani lines are staturated how can I reach hao customer care au technician. the thing is all new calls are dropped ragardless is 100 or any other number.

  Tuiangaliae hivi.

  Nawakilisha.
   
 13. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0


  Kwani mtandao gani unashika Tanzania nzima?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni kubwa kwa Zain and Tigo;

  Pamoja na line saturation, kuna wakati Tigo hasa ukipigiwa, simu inakua haisikiki hadi upige wewe (Wiki hii nzima mwanza) na Zain wana shida zaidi kwenye upatikanaji wa network (anytime utakua offline kwasababu ya mitambo yao), hii ni common Mwanza (ukiwa ndani ya hoteli ndio basi), Arusha, Dom, Moshi na Dar maeneo ya US embassy hadi morocco
   
 15. Tuya

  Tuya JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2008
  Joined: Aug 30, 2008
  Messages: 313
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Eeenhe jamani hembu tuambieni jinsi yakuwasiliana na tigo moja kwa moja bila kupitia 100. Maana mimi ninakesi yakuliwa vocha zangu bila kutumia yani nikiingiza tu inaliwa kabla hata sijatumia nashangaa tu nikitaka kupiga simu naambiwa salio langu halitoshi kupiga simu natakiwa niongeze sijui!! ndio kuukuza uchumi sijui.
   
 16. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #16
  Oct 24, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tuya nenda office ya tigo iliyo karibu yako na sio mawakala
   
 17. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Customer care yenyewe tiGo wanakuchaji...wanakuweka hewani dakika kadhaa kisha wanakuambia wahusika wako busy na wateja wengine ujaribu baadae.

  Ni Bongo...tunafika tu, mtelemkoni tunasimamia!
   
 18. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nenda ipo maeneo ya euckenforde kama unaelekea sprended hotel
   
 19. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  POSTA kwa kutumia S.L.P.
   
 20. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli wewe ni Mzozo wa Mizozo ......:)
   
Loading...