Zantel wamepandisha huduma zaidi ya 100% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel wamepandisha huduma zaidi ya 100%

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fidel80, Oct 23, 2008.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kampuni ya Zantel imepandisha huduma ya internet kutoka sh.50 kwa MB sasa imefika sh.120 kwa MB.
  Sijajua wametumia vigezo vp kupandisha gharama kwa kiasi kikubwa nilivyo wapigia cmu wanadai serikali imeongeza gharama za uendeshaji...Hivi ni kweli hii?Mlio karibu na hawa watu tunaomba muwaulize sawa hatukatai ni bishara lakini kupandisha gharama kwa zaidi ya 100% mara nyingi kampuni ikisha pata wateja wengi ndo tabia yake kupandisha bei.
  Wanadai wao ndo wenye bei chee hiyo ya 120 kwa MB kuliko kampuni nyingine mnao jua bei za makampuni mwengine naomba DATA.
  Waangalie wanaweza wakawa wanawafukuza wateja tukahama kama tulivyo kimbia TTCL na tulivyo kimbia kwenye cmu za mkononi za ZANTEL huyu meneja wa masoko awe mbunifu kidogo.
  Naomba mwenye uelewa wa kampuni inayo toza bei nafuu ya Internet anipe contact zake nihame ZANTEL kwani huu ni ufisadi wa hali ya juu itafika kipindi hata kuingia JF tutakuwa tunaingia kimachale kama gharama ndo hivi ni maumivu.
  Napenda kuwakilisha.
   
 2. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Shukrani kwa kutuletea hizi habari. Niliposikia wameanza kupeleka huduma ya internet mikoani nikajua yep, the price is about to go up!

  Let's hope kampuni nyingine zitaleta huduma hii kwa gharama nafuu. What is the progress on Submarine Cable Systems?

  .
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Lazydog kuanzia mwezi wa 11 - 12 utegemee mambo mapya manake kuna uhurunet , umojanet , baharinet yote haya ya kufanya wewe mawasiliano yako yawe nahisi na gharama za chini zaidi
   
 5. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  Hongera kaka, naona unafungua company TATU KWA MPIGO.

  Vipi umeshapanga bei zake, kama vipi mwaga price list yake hapa.
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa namwambia kuhusu mpango wa eassy cable hautaitwa jina hilo tena umepangwa vipengele na ndio hivyo hapo wameamua kutumia majina hayo kutokana na mchango mkubwa wa tanzania katika hiyo cable pia kutokana na lugha ya kiswahili
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  sant kwa taarifa shy
   
 8. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Utaratibu wa kuwatoza wateja wanaotumia internet kwa MB sio mzuri, hii ni naman moja ambayo makampuni haya yanawaibia wateja. Ni wakati sasa kwa watumiaji huduma kupinga suala la malipo kwa MB.

  Nadhani makampuni haya inabidi yatoze gharama zao kwa mwezi kulingana na kasi ya mtandao mteja anayopatiwa. Hapa nina maana makampuni yanaweza kuweza viwango tofauti kwa kila kasi. Lakini gharama iwe ni flat rate kwa mwezi. Determinant ya gharama iwe ni kasi ya mtandao [amount of data per second (Kbps, Gbps etc)].
   
 9. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  which company is bringin the fast net from the cable?? wakenya au?
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  ISP wako naye ana service provider wake, na huko limitation ni amount transfered (unless it is not "Internet via satellite" - huduma ambayo bado hatujawa nayo Bongo). Kuna service providers wasiokuwa na hiyo limitation kwa mteja ila speed ni ndogo kiasi kwamba hata uki-download day and night hutaweza ku-abuse limit ambayo yeye hatakiwi kuvuka.

  Mimi hapo nitachagua kulipia per MB.
  By 2010 kutakuwa na afadhali hasa kwa wanaoishi mijini.  .
   
 11. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  About EASSy (cable system)
  .
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Sasa JF kutaingilika kweli?
   
Loading...