Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi sielewi hivi mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mbunge na madiwani wanafanya nini au ni nini kimeshindikana hadi watoto wakae chini wakati sijaona Landcruiser za wakubwa hawa zimekosa mafuta...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Namtafuta best friend wangu JESCA NAIMAN MOIRO kutoka Baraa,Mashono ,Moivaro Arusha, Tulisoma naye Tabora Girls School ikiitwa WARSAW enzi hizo miaka ya 1982-1986. Alibahatika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nina katoto kadogo ka miezi sita, tangu jana jioni kamekuwa kakisumbuliwa na malaria, leo asubuhi nimekapeleka lugalo hospitali kwa kuwa ndio hospitali iliyopo jirani na makazi yangu kawe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Monday, October 12, 2009 7:53 PM MGAO wa umeme wa zaidi ya saa 14 kwa siku katika kila kona ya jiji ya Dar es Salaam, ulioanza wiki iliyopita nchi nzima, umekuwa ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
“Nyerere alikuwa mtu wa ajabu…matendo yake yanakaribia kufanana na ya Yesu. Hakika hajatokea mtu wa kuvaa viatu vyake,” anasema Mbusuro Wanzagi, mke wa 10 wa Chifu Edward Wanzagi Nyerere...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani natamani kununua nissan xtrail; tafadhali nawaomba wanaozijua hizi gari wanipe ushauri kama ni gari nzuri za kununua. Ushauir tafadahli. Thanx in advance
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wikiendi iliyopita, gazeti hili lilituma waandishi wake katika kona mbalimbali jijini Dar es Salaam ili kuona hali halisi ya biashara ya ukahaba, sambamba na kupokea nukuu za wanawake wanaofanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bado sijafikia kuamini kuwa kiu yetu ni kuona watuhumiwa wanajiuzuru tu bila hatua zaidi kuchukluliwa dhidi yao.Akina Johnson mwanyika,arthu mwakapugi,na wengine sioni kama ni haki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ile bustani ya forodhani pale zanzibar kwa watanzania wote tuna la kujifunza. La kwanza ni USAFI, hili eneo usiku mambo yanayopatikana pale kwa waliofika ni bites,juice hata uwanja woote unajaa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Upendeleo kwa mtoto mmoja Swali: Nataka kujua zaidi katika malezi ya watoto kuna kitu inaitwa parental favouratism. Iwapo mtoto mmoja anajisikia kutopendwa sana kama mwenzake au wenzake na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tuesday, October 20, 2009 Usisahau kutaja jina lake! Mke si barabara asiwe na jina!Tendo la ndoa ni sanaa kama sanaa zingine na hakuna mtu anaweza kukufundisha kwamba unapotaka kuwa mwili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marriage is not a noun; it's a verb. It isn't something you get. It's something you do. It's the way you love your partner every day.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wabongo bana sijui tukoje! Inakuwaje hatuwi wakweli ikija kwenye masuala ya kushirikiana kikazi/kibiashara? Kwa nini tunapenda kupeana matumaini yasiyo na matumani? Nimekuja kwako kuongea nawe...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Enyi Watanzania wenzangu hebu niambieni,KWANINI ICT TUMETAWALIWA NA WAHINDI?Jaribuni kuangalia kampuni zote Tanzania zinazojihusisha na mambo ya IT.Je wao wananini cha zaidi ya kutushinda sisi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hellow great thinkers, Juzi, na jana kumekuwa kukivurumishwa baruti na wahindi kwa kiwango kisicho cha kawaida. Enzi za Kamanda Tibaigana hawa jamaa walipewa saa moja tu kuvurumisha hayo mafataki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Bernard James The Citizen October 21, 2009 Two men who presented themselves in court as sureties for a senior Bank of Tanzania (BoT) official charged along three others allegedly for the loss...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UGONJWA wa kuhara ambao umeripotiwa kuwa wa pili kuwakumba Watanzania wengi baada ya Malaria huenda ukaendelea kuwatesa Watanzania wengi iwapo utaratibu wa kunawa mikono kabla ya kuandaa chakula...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana nilikua pale mlimani city sasa nilikua nataka kununua kitu fulani lakini nilikua na upungufu wa pesa, sasa kwa sababu eneo hilo lina ATM nikaamua kwenda kwenye hii bank ya makabweli lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jina la "Guantanamo" limevunja ndoa ya miaka 17 Tuesday, October 20, 2009 2:23 AM Ndoa ya miaka 17 imevunjika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaojua maandiko, naomba msaada wenu Inakuwaje Yesu acholwe akiwa wa kizungu, lakini shetani anachorwa akiwa wa kizungu? Je huu sio udhalilishaji kwetu waafrika?
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Back
Top Bottom