Nchi isiyo na wenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi isiyo na wenyewe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjasiliamali, Oct 23, 2008.

 1. M

  Mjasiliamali Member

  #1
  Oct 23, 2008
  Joined: Oct 17, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hivi...hawa wawekezaji ni kwaajili ya JK na wenzake au ni kwamanufaa ya wasio wanachi hii ambao wanajitutumua kwa kutumikishwa bila kulipwa malipo halali, nahao waalikwa wa Sirikali ya BWANAMKUBWA? Serikali ambayo kwa vitendo vyake hivyo ina jibainisha kuwa, watumikishwa hao ambao hutumikishwa na waalikwa wa Sirikali hii.hulazimika kukubali kila watendewayo na waalikwa hao,ili kutokukosa, hata mkate wakilasiku. kamakwamba haitoshi, waalikwa hawa, huwa na JEURI kwani wanajua huwezi kuzungushana nao, kwani utakosa mkatewako,nao watapetatu!......Sikiliza bwana huwezi kumlipa wakili, ili hali kwako kupata mkate wasiku ni ndoto,...na hiyo hela ya nauli ya kwenda, mahakamani? serikali itakupa? na hela yakula wakati umesimamishwakazi,au umefutwakazi Serikali itakupa?...hawawezi kuhangaika na watumikishwa kwani...wao hawaonji joto ya jiwe ya huku..mitaani...kwani ajuae uhondo wangoma niyule aichezaye....wao nikujipandishia posho...namarupurupu...kuwaweka watu katika msongamano barabarani...pindi wanapo kimbiakimbia barabarani...lakini hatuoni, wanachokifanya...
   
Loading...