Nitajuaje tayari!

Nitajuaje tayari!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,969
Nitajuaje tayari!



Nitajuaje moto umewaka?Swali:
Nitajuaje mke wangu amesisimka vya kutosha na kwamba uke wake upo tayari kupokea uume wangu?

Jibu:
Ukweli ni kwamba mwanamke huwa tayari pale tu ukiwa na muda wa kutosha kuhakikisha amesisimka kiasi cha kutosha mwili mzima.

Mwelezo au dalili au alama (sign) kwamba (mwanamke) yupo tayari au amesisimka kiwango cha kutosha si kuwepo kwa majimaji ya uke tu (secretion/lubrication), au chuchu kusisimka na kuwa ngumu au kulegea kwa macho yake tu, au yeye kutoa miguno, kelele au sauti zinazoonesha anapata raha fulani, bali ni pamoja na kukua au kuongezeka maradufu kwa uke na kuta za uke kukuhakikishia kwamba uke upo tayari kupokea uume wa size na shape ya aina yoyote bila tatizo.
 
Sio mahala pake mkuu....
MODS please wekeni hii panapostahili.
 
Sio mahala pake mkuu....
MODS please wekeni hii panapostahili.


Bravo DMussa!
Lakini wataalamu wa mambo hayo bado mna nafasi ya kumsaidia huyu raia mwema, asiyetaka ndoa yake isambaratike.
 
Back
Top Bottom