Mitishamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitishamba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makanyagio, Jul 23, 2009.

 1. M

  Makanyagio Senior Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wana JF, ninavyofaahamu mimi mitishamba ni dawa nzuri sana kama ukizijua na kujulia kizitumia. Mababu zetu ziliwasaidia sana kabla ya kuja za kizungu na feki za kichina ambazo zingine ndio zinatuletea matatizo leo hii.
  Ningependa kufaahamu kama kuna mwana JF anaefahamu mitishamba ya kuongeza mbegu za kiume. Atujulishe tuweze kisaidiana. Nina jamaa zanagu wa karibu (ukiacha walioathinirika mirerani, Tanzanite one) wamepata tatitzo la kupungukiwa mbegu za kiume wametumia dawa za kizungu bila mafanikio ya maana. Ushauri nini wafanye/wasifanye ungesaidia pia.
   
 2. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wachina wanazo nyingi tuu zinazoongeza nguvu za kiume.
   
 3. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kitu gani hasa kina fanya wanaume wanapungukiwa na nguvu za kiume? ,Mh mkuu una sababu ya kutumia mitishamba kuongeza nguvu za kiume,unaweza kula vyakula vya kujenga mwili n"k siku hizi na sikia ata matikiti maji yana ongeza nguvu za kiume(yame msaidia sana YoYo na sasa yuko fit).pia nasikia asali nayo pia inasaidia.
   
 4. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #4
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndugu umeambiwa mitishamba ndio dawa za kuaminika? siku hizi karibu kila dawa ni fake,wajanja wamekuwa wengi.Unakumbuka dawa moja hivi ilikuwa inaitwa NGOKWA 11 hii dawa ilikuwa inatibu mangonjwa mbali mbali,ilifikia wakati ikawa inawateja sana ,mwishowe wanjanja wakasaga mizizi yao na kuchukua nembo yao bidhaa ikawa sokoni.matokeo yake watu waliumwa magonjwa ya ajabu ajabu.

  Nakushauri usitumie dawa ya aina yoyte ile ya kuongezea nguvu za kiume.Zingatia sana kula milo mizuri ya kujenga mwili na kupata muda mzuri wa kupumzika,mtu unaweza kufikiri una upunguvu wa nguvu za kiume kumbe uchovu /mawazo na mengineyo ndio yana kusababishia kujihisi huna nguvu za kiume.
   
  Last edited by a moderator: Jul 23, 2009
 5. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2009
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Isije kuwa ni janja yako tu kumbe ni wewe mwenyewe mkuu.
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu, waambie jamaa waende umasaini watapata madawa hayo. Wale jamaa ni mabingwa wa hayo mambo. Lakini humu JF kuna thread ilikuwa inazungumzia juu ya matikiti maji kwamba ukiyala yanaongeza power.
   
Loading...