Tanzania ni jinchi kubwa sana na Serikali ya CCM imeshindwa na inashindwa kusimamia haki kutokana na ukubwa huo ,hivyo dawa ni kule ambako Serikali ya CCM imeshindwa kuhudumia ni bora wakajikata kivyao kuliko kuwapelekea mapolisi na majeshi wakiwapiga virungu,risasi na kuwafanyia vitendo vya unyama na kishenzi na badala yake kuwapandisha vyeo waliofanya vitendo hivyo. Kama mtaitawala kishenzi na kijeshi na kipolisi basi endeleeni hivyo hivyo lakini CCM na utawala wake haikubaliki tena Pemba ,mpaka tuone yule ambae atakuwa tayari kuwachukulia hatua wale wote waliohusika na vitendo vya uasherati kuwafanyia wakazi wazalendo wa Pemba watu ambao tabia zao na hulka zao ni wapole na walimya kabisa wakiongezewa na ukarimu.
Kama Tanzania ni masikini basi itabakia masikini maisha na utajiri hautapatika kwa kuikalia Pemba kimabavu na kuilazimisha kuichagua CCM ,zaidi hazidishi mwenye kudhulumu ila hasara ,Kikwete ni Muislamu anaifahamu vizuri aya hiyo.