TRA wanatoza VAT 20% Zanzibar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRA wanatoza VAT 20% Zanzibar!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KiparaDar, Jul 23, 2009.

 1. K

  KiparaDar Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 20, 2007
  Messages: 44
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wakati inajulikana kabisa kuwa ushuru wa forodha unasimamiwa na mamlaka ya mapato tanzania(TRA) ambayo iko chini ya serikali jamhurii ya muungano Tanzania,kuna habari mamlaka hiyo inatoza ushuru wa zamani kwa kiwango cha 20% ya VAT kwa imports zote zinazoingia kupitia bandari ya zanzibar kinyume na sheria mpya iliyotangazwa bungeni hivi karibuni!

  Mnamo julai mosi kiwango kilibadilika hapa zanzibar na kuwa 18% kama ilivyotangazwa bungeni,lakini hivi karibuni,yapata wiki moja sasa,kimerudishwa tena na kuwa 20% kama zamani kwa madai ya kuwa serikali ya mapinduzi zanzibar imekataa kiwango hicho kipya,Jee hapa si uvunjaji wa makusudi wa sheria ya bunge?NI MGONGANO?
   
 2. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kodi (yoyote) ile katika eneo la Zanzibar. Mkusanyaji halali ni Mamlaka (inayotawala) Zanzibar. TRA ni ....... -sijui niite jina gani muwafaka mpaka ukanielewa. lakini najua umeshanielewa.
   
Loading...