Wanapendelea Mzumbe zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanapendelea Mzumbe zaidi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng`wanakidiku, Jul 21, 2009.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2009
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika kuwa wanaomaliza kidato cha sita sasa wanapendelea kusoma Mzumbe, na sababu mimi binafsi sifahamu, je kuna mdau yeyote mwenye information juu ya hilo, maana applicants inasemekana ni wengi na zaidi ni division one.
   
  Last edited by a moderator: Jul 21, 2009
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Habari hizi umezipataje? Na utazithibitishaje?
   
 3. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nilivyosoma heading mie nikafikiri kuwa kuna matatizo makubwa yametokea aidha mgomo, mlipuko wa ugonjwa au ghasia. Unakuja kusoma mwandaa thread anatafuta maoni. Mmmh heading zingine.........
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mkuu badirisha kichwa cha habari na pia toa breaking news.umetustusha sana na hio heading yako.
   
 5. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inategemea na kozi ya mwombaji. Kwani Mzumbe hakuna Engineering wala Natural Science courses. Mzumbe ni wazuri wa kozi za uongozi (Public Administration and Management) kutokana na trend waliyokuwanayo tangu mwanzo. Lakini bado katika anga za kimataifa University of Dar es Salaam kiko juu.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  mZEE kuja kivyengine basi.
  Hapa hujaweka sawa hii mambo! Kichwa na contents hazishabihiani.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kiroho kilinidunda.....moto?....

  anyway mkuu nitakuambia kitu sasa hivi vijana wengi hawataki kusoma injiniaringi,udaktari wala mazingira woote wanataka wawe wahasibu,mameneja,financial controller na vitu kama hivyo...so wote hao wanataka kozi hizo....
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arrrrg unataka ligi....anga zipi za kimataifa? FYI kuna kozi mfano ukitaka kusoma ACCA Mzumbe university imepewa exmption masomo mengi zaidi udsm hakuna kitu unaanza mwanzo........
  anga gani za kimataifa migomo mitupu?
   
 9. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yo Yo, sitaki ligi ndugu yangu. Wewe umesoma Mzumbe so lazima ufagilie huko. Unaweza ukawa na pointi yako fulani hapa lakini tukija kwenye world ranking ya Universities duniani UDSM kiko juu and well recognized internationally kuliko University yoyote TZ.
   
 10. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  MZUMME university graduates performs well in areas of public administration, accounts, information and communication technology management na pia katika social science hasa uchumi na upangaji wa mipango ya maendeleo.
  however on other areas of business administration and law mzumbe bado wapo duni kiasi na hawafanyi vizuri hata katika soko la ajira.
  kimsingi chuo hiki kinauza sana mtaani ukilinganisha na vyuo vingine tanzania recently kwa kulinganisha the number of graduants graduating in every academic year in relation to those who secured employment before the end of the next academic year.
  Kozi nyingi za mzumbe ni very objecive na zinasaidia kumtangaza graduate vema kwa mfano MZUMBE WANA TOA BACHELOR OF PUBLIC ADMNISTRATION WITH SPECIALIZATION IN AREAS LIKE HUMAN RESOURCE MANAGEMENT, LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT NA HEALTH SERVICE ADMINISTRATION so graduate wa namna hii ni rahisi sana kumzidi kete mtu aliyesoma BA POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION hasa kama hawa watu wanatafuta kazi katika soko la tanzania leo hii.mimi nina ushahidi kwa intaviews nyingi nilizoendesha i can proove that MU graduants in the management, accounts, ICT and economics areas are good compared to any.
  Tatizo lililopo mzumbe leo ni kuanza kuajili watu kwa undugu bila kuzingatia vigezo hii inaweza ku create a loop ya kutelemsha academic status ya chuo hiki ambacho kimekuwa bora sana kwa muda mrefu.
   
 11. b

  bnhai JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Issue si title ya kozi usichanganye vitu hapa. Of recently auditing firms opt not to recruit students from Mzumbe just because their academic credentials in their Certificates do not correlate with their work performance. Hiyo evidance inaweza ikawa more of qualitative lakini quantitavely, UDSM students ALWAYS outperfom their peers MU when it comes to proffessional exams.
   
 12. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #12
  Jul 22, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unless there is an objective study carried out by an independent organization/body we won't reach an agreement. Always students/alumni have been arguing for where they went to. If history has substance in this topic then UD can't be beaten in TZ forever!
  Employers need universities which have a name as well,not just a mere say from so and so that the graduands of a certain college are better than their counter part. They will google and find out what information is there on the web concerning these universities.
  In the past they used to claim that Mzumbe was better than UD because it was offering Advanced Diploma programmes,but to many's surprise the same institute(IDM) decided to turn into a university and offer bachelor degrees. That is when all the scandals of lecturers who went to unacredited universities,favouritism in employment mushroomed,etc,etc. So far I think UDSM(the hill) has the best dons of all the universities in the country. Make a survey and interview dons at the ERB,IRA,IPI,Geology, UCC,Edu,FPA,school of business etc and go survey the MU and see how far behind they are in this. Visit the Lib at the Hill( the Law Collection, the General Collection, East Africana,Special Reserve and visit the other lib(MU). Look at the Publications at the Hill. Ongoing research projects and the completed ones. An independent researcher should do this and not an alumni otherwise the debate shall just be like Simba na Yanga. In any case in this debate UDSm shall win since it will obviously have the highest number of alumni who shall contribute and "mwamba ngoma ngozi huvutia kwake".
   
 13. b

  bnhai JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Yah, the idea of having independent researchers is good but honestly employers are now shunning away from recruiting MU. We have had an opportunity to interact with both students annonymously, finally we drew a genaralisable conclusion that UDSM students are better. I can provide evidence if you u like
   
 14. E

  Exaud Minja Member

  #14
  Jul 22, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kweli kwa anga za kimataifa University of DSM iko juu, ila kwa soko la ajira bongo nakushauri usome Mzumbe ninaushahidi wa ndugu zangu saba waliosoma Mzumbe na kupata kazi wote kwa haraka kuliko ndugu zangu wanne waliosoma University of DSM with Upper Second na kukaa kijiweni mwaka mzima. Ila inategemea kozi unayotaka kusoma.
  Mfano mwingine ni soko la ajira lililopo kwa watu waliosoma Wildlife Management - Mweka ni kubwa kuliko waliosoma kozi hiyo hiyo Sokoine University of Agriculture.
   
 15. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hao jamaa waliosoma walisoma kozi sawa ama wa mzumbe kozi tofauti na UDSM?, pia katika kuapply walikuwa wanafanya applications pamoja kwa kila kazi?, manake sijui unatumia kigezo gani kusema kwa SOKO la ajira Bongo soma Mzumbe. Unaweza utoe ufafanuzi tafadhali.
   
 16. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  ndugu usichanganye vitu, ajira inategemea wanamtaka mtu wa namna gani. BSc na Diploma ni vitu tofauti na watu hawa wanafanya kazi tofauti mmoja ni zaidi technical na mwingine ni professional. na hata leves za mishahara zinatofautiana.
  watu wa diploma wanaajiriwa sana sehemu nyingi (waalimu, maengineer nk)
   
 17. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Labda mleta hoja useme kwa kozi zinazofanana eg accounts, Administration, IT kwanini watu wapende kwenda Mzumbe kuliko UD, IFM, UDOM:
  eg UDSM:
  city life ni ngumu expensive, utulivu hakuna wa kukuwezesha kusoma vizuri
  migomo - wanasiasa wanawatumia kwasababu ya easy access?
  bureaucracy, disco na rushwa - waalimu wanajisahau, possibility ya kumaliza ndogo au ni kwa shida
  ...... hii nimeisikia kwa watu wawili wameenda UDOM na mwingine Mzumbe mwaka huu, ila sijui ni kweli?
   
 18. b

  bnhai JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Watu wanatafuta visingizio tu hapa. Ukweli kabisa wengi wangependa kusoma UDSM lakini nadhani wakati fulani wanakosa vigezo. Pia performance no objective. Kuanzia nani anayefundisha, vifaa vya kujifunzia na kufundishia, machapisho, ratio ya walimu kwa wanafunzi, qualifications za walimu. Honestly sipo UD kwa sasa lakini kwenye kasoko ketu wanajitahidi though at international level bado they have a long way to go.
  Disco haziepukiki usipokuwa makini ila kubwa zaidi nafaham MU baadhi ya walimu wanarudia maswali ya darasani kwenye final exams(horrible), hawapimi uwezo wa mwanafunzi kufikiri from the scratch saaaaaana wanameza swali kama lilivyo anasubiri kutapika
   
 19. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #19
  Jul 22, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani MU ilianzishwa lini? Hiki ni Chuo chetu,ila bado kichanga sana. Subirini Dodoma University waanze kugraduate ndipo mfananishe na MU,lakini sio UDSM. Kwanza MU ingefaa iwe college au School of Business chini ya chuo fulani kikubwa kama vile Sokoine hapa Morogoro. MU bado inaendeshwa kwa ktk misingi ya Institute zaidi kuliko University. It has very small faculties,departments and institutes. Worse still, while MU is sending assistant lecturers to school so that they may head departments UDSM sends people to school to replace the retired professors(names witheld). These two institutions have very different scales(UDSM being superior). Ila kadili tunavyoenda,watu wasome kutokana na interest zao na kwa kuangalia soko la ajira ila sio kwa kigezo kwamba eti MU zaidi/UDSM zaidi. The fact is plain!
   
 20. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hilo suala si kweli mkuu, kwani kwa habari nilizozipata za uhakika ni kwamba watu wengi wenye sifa hawapendi kufanya kazi za academics maeneo kama ya mzumbe kwani mtu akiwa mtaani analipwa vizuri zaidi kuliko kuwa mzumbe, hivyo inapelekea uhaba wa wahazili. Pia tatizo lingine lipo kwenye vyuo vingi vya elimu ya juu, kwa mfano mlimani hawakuwa wanaajiri mpaka walivyoona wengi wanastaafu ndo wakaanza, sasa hili ni tatizo sugu vyuoni. Ninamengi ninayoweza kusema kuhusu vyuoni maana hari si shwari sana.
   
Loading...