The Native Son
Member
- Jul 14, 2009
- 86
- 20
Ndugu zangu, hivi watanzania adui zetu ni nani kwa sasa au ni bado wale akina UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI?
Ndugu zangu, hivi watanzania adui zetu ni nani kwa sasa au ni bado wale akina UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI?
Naongezea uvivu wa kufikiri na ubinafsiHa ..haaa... haaaa...!! tuh ..tuh ....tuh... kwe...kwe......!
The Native Son;528690
Maadui zetu wameongezeka saaaaaana!
Kwasasa mi nadhani wamefikia karibia 10!
Mbali ya hao ulowataja,kuna:
-UFISADI
-UWIZI WA KURA
-TAKRIMA
-MIKATABA MIBOVU na memgine meeengi!
Kweli swali lako limenifurahisha sana, unatafakari vyema,
na nakupa thanks bila kinyongo!
Hiyo silaha haipitwi na wakati ili mradi wapambanaji tuna nia ya dhati kupambana na maadui hao na hakuna unafiki. Enheee nimekumbuka tena adui mwingine ni unafiki na wanafiki unawajua!Sasa PakaJimmy, hawa maadui wa mwanzo mapambano yalikuwa yale ya umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, mtazamo wetu ukoje kwenye hao maadui wengine uliojaribu kuwaainisha japo baadhi yao? Au ndio itajuwa ile wageni wanasema, "Struggle for existence and survival for the fitest"?
Hiyo silaha haipitwi na wakati ili mradi wapambanaji tuna nia ya dhati kupambana na maadui hao na hakuna unafiki. Enheee nimekumbuka tena adui mwingine ni unafiki na wanafiki unawajua!
Pamoja na kuninukuu vibaya, lakini vita ni vita muraNakubali silaha haitupwi, sasa inakuaje ikizidi uzito? Maana silaha inaweza kuwa nzito mpaka mpiganaji akaitupa. Au ndio vile wahenga walisema, "Bora Punda afe ila mzigo ufike", tuyabebe mapambano mpaka mwisho.