Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uganda's highest court will next month rule whether the giving of bride price is unconstitutional. Is it time to ban dowries? Known as 'lobola' in the south, 'mahari' in the east and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mniwie radhi kama habari hii mmekwisha ipata. Tanzania faces $27m IPTL lawsuit in the US By WILFRED EDWIN http://www.nationmedia.com/eastafrican/current/News/news031120078.htm A $27...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimezoea kuona namba za magari kwa nchi yetu Tz toka zimebadilishwa ni mfano T 101 VUZ. Sasa katika pita pita yangu mitaani nimeona kuna gari si mara moja kuziona zina namba mfano T CSC 101. Sasa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kesi ya uvuvi haramu inayowakabili raia wa nchi tano za kigeni, baada ya raia hao kusota mahabusu kwa muda mrefu huku dhamana ikiwa na mizengwe kibao leo hakimu anayeendesha kesi hiyo Bi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu poleni na shughuli...kuna tetesi nimezipata kuwa jkt imerudishwa tena ..kama ni kweli walengwa watakuwa ni kina nani?yaani hapa nataka kujua walengwa ..wanaomaliza form six?au chuo kikuu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=exSi1dV67-s A South African man married four women at the same time during a ceremony attended by hundreds of people. Man marries four women at the same...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Na Joyce Joliga, Songea DIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tunduru amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mmoja wa masheikh...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
The other day I was talking to a friend of mine, an executive at a fairly large company. We were discussing (and whining a little bit) about all of the problems we both have to solve on a daily...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiwachagi raia wa US na wao watawachagi raia wenu. Is this true? What is Reciprocity? Nonimmigrant visa fees are based on "reciprocity," (what another country charges a United States citizen...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Secrets and Child Sexual Abuse CNN interview, ...Secrets and Child Sexual Abuse http://www.youtube.com/watch?v=izBOnZzZe3g
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Suala la watumishi hewa wa serikali linaelekea kuota mizizi!Kwamba Wiara ya Afya nako mabilioni yametafunwa ni suala la kusikitisha!! Ikumbukwe kwamba, Wizara ya Afya na Sekta ya Elimu tayari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JESHI la polisi linamshikilia mwanamke wa Kitongoji cha Manyata Kijiji cha Nyichoka Kata ya Kyambahi wilayani hapa, kwa tuhuma za kumuua mteja wake kwa kumchoma kisu. Kamanda wa Polisi mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilianza kwa Gray Mgonja, yeye alistaafu!!! ( au alistaafishwa kimyakimya!!!) wiki chache baada ya kustaafu,akaburuzwa kortini kufuatia scandal la Alex Stewart!!! Leo, magazeti yametoa tangazo la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MASHAMBULIZI YA MAREKANI SOMALIA TUMEJIFUNZA NINI Ndugu Tumeona siku za karibuni Jeshi la marekani kwa kutumia ndege zake zilifanikiwa kumuuwa gaidi mmoja raia wa Kenya waliyekuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo Kwa mara ya kwanza nimebahatika kukutwa na ajali ya basi lakini dereva alifanikiwa kukwepa gari ya mbele na kuingiza gari porini baadaye wakalitoa na tukaendelea na safari kama kawaida...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Padri Privatus Karugendo KATIKA makala yangu ya juma lililopita kuhusu Tamasha la tisa la Jinsia nilimaliza kwa kusema kwamba Changamoto kubwa anayoiona Profesa Tamale, ni jinsi ya kupambana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
KAMA ulizaliwa, ukakua na mpaka sasa hujui kuna mchezo wa kitoto unaoitwa kujipikiliza, basi kimbia harakaharaka kwa Manyaunyau akakunyweshe damu ya nyau, kwa sababu utakuwa umepungukiwa akili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndoa ya rais wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle iliwahi kupitia misukosuko mikubwa ambayo ilitishia kuvunjika kwake. Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisababisha kutokuelewana ni Obama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hili suala nimelisikia kwa muda sana....je kuna mtu mwenye data??? do you dare to say??? 1..... 2..... 3..... 4. kuna mtu aliwahi kumzulumu shamba, alipokamata tu uraisi jamaa alifuatwa na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Bw. Cyril Chami. Waziri wa JK Cyril Chami amerejeshewa pesa aliyo toa kwenye msiba wa mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi. Alitoa kiasi cha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom