Wavuvi haramu kudhaminiwa na meli yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wavuvi haramu kudhaminiwa na meli yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Sep 28, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Kesi ya uvuvi haramu inayowakabili raia wa nchi tano za kigeni, baada ya raia hao kusota mahabusu kwa muda mrefu huku dhamana ikiwa na mizengwe kibao leo hakimu anayeendesha kesi hiyo Bi. Walyarwande Lema leo ametoa uamuzi wa dhamana. Hakimu huyo ameitaka Taasisis ya vyombo vya majini hapa nchini (Marine Institute) kwenda kuifanyia thathmini meli hiyo na kuangalia kama thamania yake inafaa kuwa dhamana ya wavuvi hao zaidi ya 30. Taasisis hiyo itarudisha jibu hilo mahakamani hapo Julai 2 mwaka huu. Wavuvi hao wamerudishwa gereza la keko wanakoendelea kusota kusubiri dhamana. Kesi hiyo itatajwa tena mahakamani hapo Julai 2 mwaka huu.


  [​IMG]

  ...Wavuvi hao wakiwa mahakamani leo mchana kabla ya kesi hiyo kuanza.


  [​IMG]

  .Mmoja wa wavuvi hao akijikuna ukurutu mahakamani hapo.


  [​IMG]

  Sehemu ya mikono yake ikionesha ukurutu ulivyomshambulia. KEKO HAKUFAI!

  PICHA:RICHARD BUKOS /GPL ​
   
 2. m

  macinkus JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2009
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  leo ni septamba 28, hiyo dhamana kama ilitolewwa tangu julai mbona hao wavuvi bado wanasota gerezani?
   
Loading...