Jk ni mtu wa visasi....?

Jk ni mtu wa visasi....?

MtazamoWangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2009
Posts
313
Reaction score
8
hili suala nimelisikia kwa muda sana....je kuna mtu mwenye data???
do you dare to say???

1.....
2.....
3.....
4. kuna mtu aliwahi kumzulumu shamba, alipokamata tu uraisi jamaa alifuatwa na defender, inasemekana jamaa alirruka njiani mpaka leo haijulikani yuko wapi....
5....
6....
 
ni sawa na mtu akiuliza hivi, Mtazamowangu ni mbea???

Hili ni swala liko zaidi ndani ya nafsi ya mtu, hata saikolojist hataweza kukupa jibu, the best way ni kuwa na uthibitisho wa hao watu waliofanyiwa ubaya.
Pili kwa nafsi ya JK enzi hizo kwa nji hii hao watu wasingemzidi nguvu unless waliuwa familia ya mkapa!

JK hakuwa kapuku, alikuwa mheshimiwa ili pekee lilitosha kudoubt hiyo taarifa, mtu tu amzulumu waziri? mbunge, checkbob na brotherman kama JK?

so i hereby daring talking openly that hii ni yakijiweni, haukufanya assignment vizuri, next time you need to embellish the story
 
Kamuulize pia Ngwilizi, mwakyembe, Njoolay, Gen kiwelu na wengineo!
 
Na Liyumba
In what particular instance did the collision happen?Could anyone spill the data! What about the SEYAs?Are there sufficient evidences to link mkulu with saga?
 
It seems everyone who changiad something in this thread knows more than they are letting on. They are just waiting for someone else to spill the beans.
 
Hivi wakuu wote hapa JF hakuna anayekijua kisa cha babu Seya atupe ukweli wake ili tujue kama kweli Muungwana ndiye aliyemsweka ama ni uzushi tu?
 
Hakuna anaekosa Kisasi ktk Dunia hii tunayoishi ila suala la Babu Seya Uzushi Mtupu hausiki Mkwere ila Lyumba,Mangula,Mashishanga ,M.Majogo ,Gama Hata Ngwilizi Naamini inawezekana. Mbona hata Chinga nae alikuwa na Visasi au hamjuii? Muulizeni Nchimbi Naamini Mzee wa Ruksa alikuwa si mtu wa Visasi kwani alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya Ndani Marehemu Brgd. Moses Mnauye alimtoa ktk Nyumba ya Serikali kihuni na kutupa vitu vyake nje pia Mzee Joseph butiku mara kadha alimfukuza ofisini Ikulu wakati akienda kumuona JKN cha ajabu yeye hakufikiria Kulipa kisasi Bado Aliwanyanyuwa AlliQisasu KHaki
 
It seems everyone who changiad something in this thread knows more than they are letting on. They are just waiting for someone else to spill the beans.

ni kweli kabisa people are holding back, acheni unafika semeni tu kwa ujasiri....na mbona babu seya ametajwa sana KUNA UKWELI????
acheni uwoga.....
 
mramba lazima amfunge
kwani JK anafunga watu?na amfunge kwa kosa lipi?mawakili wa serikali wenyewe wameanza kushindwa mapemaaa wanaweweseka tu,soma alivokuwa anawajibu Liyumba jana ndo utajua kuwa hakuna kesi humo ni upuuzi mtupu..
 
nawasiwasi na kesi ya Liyumba, maana hiyo kesi hipo kivisasi zaidi
 
Niliwahi kumsikia yule hakimu wa kesi ya kina Seya wakati anahojiwa ni kesi gani hata isahau! Akasema ni kesi ya kina Seya. Anasema watu wengi wametengeneza majungu na kuhusisha na visasi lakini ni yeye ndiye aliyekuwa hakimu ni ukweli kabisa ile familia iliwafanyia watoto wale vile vitendo.
 
Hivi wakuu wote hapa JF hakuna anayekijua kisa cha babu Seya atupe ukweli wake ili tujue kama kweli Muungwana ndiye aliyemsweka ama ni uzushi tu?

Kama`sikosei hukumu ya Babu Seya imewahi kutundikwa hapa JF. Niliisoma kwa makini na kwa kweli sikuona mahali popote ambako an average person anaweza kufanya itimisho kwamba ile kesi ilipikwa. Sidhani kama ilikuwa rahisi kuwafundisha uongo watoto wote wale waliotoa ushahidi.

Sidhani na wala sitakaa niamini kwamba JK alihusika katika hili.

Tiba
 
nawasiwasi na kesi ya Liyumba, maana hiyo kesi hipo kivisasi zaidi
believe me mkuu Liyumba hana kesi pale na atashinda tu..I dont get the connection for for HR and Admin.Director eti alibadilisha michoro ya jengo na kusababisha hasara...is nonsense na kweli JK kama anaongoza kwa visasi atakuja kupata shida sana akistaafu huo urais people they will not tolerate him and this will take this nation to a grave..Sijui tulitoka wapi na rais wa namna hii ,he is no visionary at all...poor me ,poor Tanzania.
 
Hakuna anaekosa Kisasi ktk Dunia hii tunayoishi ila suala la Babu Seya Uzushi Mtupu hausiki Mkwere ila Lyumba,Mangula,Mashishanga ,M.Majogo ,Gama Hata Ngwilizi Naamini inawezekana. Mbona hata Chinga nae alikuwa na Visasi au hamjuii? Muulizeni Nchimbi Naamini Mzee wa Ruksa alikuwa si mtu wa Visasi kwani alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya Ndani Marehemu Brgd. Moses Mnauye alimtoa ktk Nyumba ya Serikali kihuni na kutupa vitu vyake nje pia Mzee Joseph butiku mara kadha alimfukuza ofisini Ikulu wakati akienda kumuona JKN cha ajabu yeye hakufikiria Kulipa kisasi Bado Aliwanyanyuwa AlliQisasu KHaki
Watu tunachanganya vitu. Ikija katika suala la kiutendaji na kila mtu akiambiwa aweke timu yake, hayamkini kila mtu ataweka timu anayoaiamini. Sasa mtu amashakukejeli na kukuchafua, then unamuweka katika timu yako, what if akikuharibia utendaji wako? Nadhani kila mtu angependa awe na mtu anayemuamini katika uongozi vinginevyo siri za vikao zitavuja nje, atatenda ovyo ovyo ili uaibike. Nadhani sometime decisions kama hizi huwa zipo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom