Idris Rashid kushitakiwa kariuni?

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,136
Ilianza kwa Gray Mgonja, yeye alistaafu!!! ( au alistaafishwa kimyakimya!!!) wiki chache baada ya kustaafu,akaburuzwa kortini kufuatia scandal la Alex Stewart!!!

Leo, magazeti yametoa tangazo la nafasi ya Managing Director, TANESCO- Nafasi ambao inashikiliwa na Idris Rashid!!!

Hata hivo, kwa mujibu wa gazeti la Dar Leo, management ya TANESCO haina taarifa juu ya tanazo hilo la nafasi ya kazi lililotolewa na Bodi ya TANESCO!!!

Sasa hii inaashiria nini kwa Comrade Idris Rashid? Au ndo safari ya kuelekea Kisutu kujibu tuhuma za Radar Scandal ipo njiani?
 
Wanalindana hawawezi kuwapeleka kisutu labda rais ajaye 2015....huyu anawalinda wanajuana maovu yao...
 
Kesi yake ya RADA imeshaiva na muda si mrefu ataburuzwa kisutu pamoja na wenzake wawili.
 
Rashid ana tuhuma nyingi sana. Kwa kweli ni kwa vile amekuwa akilindwa sana alitakiwa awe anaozea segerea siku nyingi. Dili la Rada anahusika kwa kiasi kikubwa, kuifilisi NBC hadi ikabinafsishwa yeye ndiye mchongaji wake lakini badala yake akapewa ruksa na mzee mwinyi kwenda BOT. Huko nako alikwenda kuchapisha manoti tu. kutuka the highest denomination that time of 1,000/= note, akaingiza 2000, then 5000 na 10,000/=. huyu fisadi lazima aonje joto ya jiwe tu. Anahusika kwa Dowans, kuchukuwa mikopo ya kuboresha TANESCO na badala yake anakarabati nyumba na kujiuzia.
 
Inauma sana!! Afadhali yako uliyeachana na mambo ya ufisadi!!!
 
ila huyu mzee anamsimamo sana, akiamini kitu sio lahisi kumbadilisha msimamo wake, ila ndio hivyo kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom