Gudboy
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 867
- 82
Nimezoea kuona namba za magari kwa nchi yetu Tz toka zimebadilishwa ni mfano T 101 VUZ. Sasa katika pita pita yangu mitaani nimeona kuna gari si mara moja kuziona zina namba mfano T CSC 101. Sasa namba hizi zipo tofauti na zile za mwazo ambazo nimezoea, halafu kinachonishangaza zaidi ni kwamba zina bendera ya Tz, je ni watu wa aina gani wanapewa namba hizi maana sio nyingi kama hizi za kawaida na pia ni za TZ au nchi gani