Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imeanzisha huduma mpya ya upimaji Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini itakayofanyika nyumba hadi nyumba.
Waziri wa Wizara hiyo, Profesa David Mwakyusa, aliyasema...
Niko proud na nchi yangu Tanzania na nafurahi kuwa mimi ni Mtanzania sababu
a) Lugha: ukiwa Tanzania lugha moja ya kiswahili inatosha kutangaza habari zako za biashara na zingine na watu wote...
Jana usiku majira ya saa tatu hivi na ushehe kulikuwa na tetemeko la ardhi katika wilaya ya Kyela. Miti, majengo na watu tulitingishika kwa sekunde kadhaa na hali hiyo ilijirudia kama mara nne...
Wadau mimi ni mpenzi sana wa gazeti la mwananchi hiyo inatokana na umakini wa habari zake. Lakini tangu ndugu Kafulila atoke Chadema hawa ndugu wa gazeti la mwananchi naona wamepata dili! kwani...
The antivirus on my laptop, ESET, notified me today that is has detected attacks (seven so far) from http://www.freemedia.co.tz/rss.
The culprit: TrojanClicker.IFrame.NAG trojan.
Please...
Ndugu wana JF,
Nimeona niilete jukwaani hii hoja ya report ya kamati ya uchunguzi wa mikataba ya madini ambayo Zitto alikuwa ni member! Hatukuwahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa kamati ile, na...
Los Angeles Episcopalians elect lesbian bishop
December 6, 2009 9:10 a.m. EST
The Rev. Mary Douglas Glasspool was elected bishop late Saturday by the Los Angeles...
Wana JF.
Kama kuna watu walikuwa wanasikia tetesi basi leo napenda kuweka bayana kuwa Mimi Hamad Moh'd Hafif Al- Mugheiry na wake zangu wawili Bi Kuruthum Suleiman Al yahayai na Bi Zelekha...
Kamati ya Ndugai yameguka
Na Mwandishi wetu | 6th December 2009
- Yadaiwa wapo wabunge wanaoibeba OBC
- Mlingwa adaiwa kumkoromea Job Ndugai
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira inadaiwa...
Posted Date:: 2009-12-02 09:34:00
Concern over Dar's huge climate team
By Mkinga Mkinga and Beatus Kagashe
Tanzania is sending one of the largest delegations to the Copenhagen Summit on...
Kila kukicha idadi ya watoto yatima ina ongezeka..Watoto wana shinda na kukesha kwenye mazingira ya hatari..Huku viongozi wakila na kunywa...
Ajabu ni pale watoto hao wana po kamatwa na...
Kama wazawa/weusi "walishindwa" kuongoza mashirika mengi na au kuendesha mashirika hayo kwa hasara hadi kufilisika kwa baadhi ya mashirika na baadae "ikalazimu" kubinafsisha mashirika hayo kwa...
Na Daniel Mjema,Moshi
ZIARA ya siku tisa ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Anne Kilango Malecela katika Mkoa wa Kilimanjaro, imeibua mambo mengi yaliyokuwa yamejificha...
Na Dk. Wilbroad Slaa
NAANDIKA makala haya kuelezea maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) ambayo mengine yanahusiana na mambo ya kupotoshwa na baadhi ya vyombo vya...
Awali ya yote ningependa kuwapa hay wana jr wote. Nimekuwa msomaji bila kuchangia but leo nimeamua kuwapa ukweli tanroad kuwa matuta wanayoyaweka barabarani hususani high way ni kero maana...
Kama unataka kuamini kuwa serikali yetu ni kcihwa ngumu basi maelezo ya Waziri Ngeleja yanaonyesha jinsi ambavyo serikali yetu ilivyowakumbatia au kuwa mikononi mwa Wachukuaji wa madini. Licha ya...
Kwa ukweli na uungwana na ili niwe mkweli (uzushi sio sera yangu) nimepata wazo la ku compose thread hii baada ya kuifuatilia na kuchangia thread ya mdau wangu Paka jimmy ambayo ilikuwa na heading...
I bet they will quickly offer him citizenship!! Kama kawaida, Wamarekani hawatapenda atambulike kama "the Nigerian senior creative designer". Ila jamaa anavyoongea anaonekana hajasahau alikotoka...