Kamati ya akina Zitto imepeleka wapi report ya madini?

Kamati ya akina Zitto imepeleka wapi report ya madini?

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,210
Ndugu wana JF,
Nimeona niilete jukwaani hii hoja ya report ya kamati ya uchunguzi wa mikataba ya madini ambayo Zitto alikuwa ni member! Hatukuwahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa kamati ile, na Zitto mwenyewe amenyamaza kimya wala hasemi chochote kuhusu matokeo ya kazi aliyoifanya. Je amefumbwa mdomo?
 
swali safi sana! Itakuwa inasubiri kufungia maandazi mtaani
 
Back
Top Bottom