Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 74
Niko proud na nchi yangu Tanzania na nafurahi kuwa mimi ni Mtanzania sababu
a) Lugha: ukiwa Tanzania lugha moja ya kiswahili inatosha kutangaza habari zako za biashara na zingine na watu wote wakakuelewa unlike zambia lazima utafsiri habari hizo kwenye lugha tano za makabila makubwa hivyo hivyo kwa kongo
b) Siasa: Siasa na wanasiasa wetu ni better off kulinganisha na nchi zinazotuzunguka e.g. Rwanda (matisho), Kenya (ukabila) Uganda (sijui museveni kama ataondoka, Kongo etc...
Na mambo madogo madogo mengine mazuri kama marafiki, undugu etc..