TANROADS na matuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANROADS na matuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngala, Dec 5, 2009.

 1. N

  Ngala Senior Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Awali ya yote ningependa kuwapa hay wana jr wote. Nimekuwa msomaji bila kuchangia but leo nimeamua kuwapa ukweli tanroad kuwa matuta wanayoyaweka barabarani hususani high way ni kero maana yanasababisha foleni mbaya kabisa bila sababu za msingi.kuna matuta stopover hadi mbezi. Kipande hicho ni kero asubuhi na jioni maana gari haziendi kabisa hata mwendo wa harusi sivyo.cha ajabu nyerere road mbona haina matuta na ni barabara ya miaka mingi. Je kama ni kwa ajili ya ajali kwa nini isiwe nyerere road?NAWAULIZA TANROAD WAZIMU WA MATUTA MMEUPATA WAPI? Chonde mcmind ten percent tu kututesa sisi.twahitaji kuwahi vibaruani asubuhi na tuwahi kurudi jioni kuungana na familia zetu mapema. Nasema CHONDE VIPATO VYENU NI MAUMIVU KWETU.
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  We mtoto jitambulishe kwanza wazee tukupe baraka, unaanza tu na Tanroad we hujui hata pesa za kushikilia majimbo tunatoa huko?
   
 3. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Matuta yanasaidia kuepusha ajali hasa kwa watoto!
   
Loading...