Tetemeko la ardhi latikisa Kyela

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,695
2,553
Jana usiku majira ya saa tatu hivi na ushehe kulikuwa na tetemeko la ardhi katika wilaya ya Kyela. Miti, majengo na watu tulitingishika kwa sekunde kadhaa na hali hiyo ilijirudia kama mara nne hivi. Hakuna taarifa za maafa lakini kwa wapita njia hali hiyo ilitustua sana.

Kama kuna mwenye taarifa zaidi katika sayansi ya matetemeko ya ardhi anaweza kutujuza manake sehemu zingine duniani watu wanachukulia serious issue kama hizi uhsusani katika tathmini ya maafa na uwezekano wakutokea tena.

Wenyeji wanasema ilishawahi kutokea siku za nyuma lakini sio mara nyingi ni mara moja na kama miaka minne imepita hivi toka itokee mara ya mwisho.
 
Arusha walishazoea hali kama hiyo
 
Jana mida ya saa tatu usiku apa makambako lilitokea tetemeko 2 times ila halikuleta madhara as it was only some seconds.
 
Back
Top Bottom