Ongezeko la watoto Yatima na JKT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ongezeko la watoto Yatima na JKT

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domenia, Dec 6, 2009.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila kukicha idadi ya watoto yatima ina ongezeka..Watoto wana shinda na kukesha kwenye mazingira ya hatari..Huku viongozi wakila na kunywa...

  Ajabu ni pale watoto hao wana po kamatwa na police...wengine ni wauzaji wa madawa ya kulevya/kama Bangi/Gundi... Cocain ....Police hawa shituki kwamba ni hao hao watoto wa mtaani watakuja kua majambazi wa kutisha si muda mrefu....Tena kazi ita warudia...

  Kwanini JKT isitumike kuwalea watoto wa mtaani?/ Vijana wengi wapo mitaani bila kazi endapo serikari ita wapatia ajira au Vyovyote vile tuta weza kwa kupitia JKT....JKT ina weza kutoa Mafano wakuwalea watoto hawa wa mtaa ni...kwa kuwapa malezi bora...shule/malazi...na mafunzo ya uadilifu

  Lakini hawata fundishwa mafunzo ya kijeshi...

  Itakua ni Vizuri endapo serikari iatatoa mafuzo Na mifano kwa jamii jinsi ya kuwalea watoto yatima...

  JKT inaweza kuzalisha Chakula..
  JKT ina weza kuwafundisha watoto Ufundistadi
   
Loading...