Tanzania na "kupwaya" kwa uongozi wa Kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na "kupwaya" kwa uongozi wa Kitaifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shaycas, Dec 5, 2009.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kama wazawa/weusi "walishindwa" kuongoza mashirika mengi na au kuendesha mashirika hayo kwa hasara hadi kufilisika kwa baadhi ya mashirika na baadae "ikalazimu" kubinafsisha mashirika hayo kwa wageni ambao tuliambiwa kuwa ni wajuzi na wataalamu.JE INAWEZEKANA KUWA NA RAIS MZURI KIMAONO NA KIUONGOZI MIONGONI MWETU SISI TULIOKWISHA AMBIWA KUWA HATUWEZI KUONGOZA KWA MAFANIKIO SHIRIKA AMBALO HALINA WATU HATA 500 WA KUONGOZWA LAKINI APATIKANE RAIS ANAYEWEZA KUONGOZA WANANCHI ZAIDI YA 30 MILIONI?
  Naona kama haiwezekani maana walioongoza mashirika hayo kufa ndio wanataka/wanatuongoza leo.
  USHAURI WANGU. Atokee kiongozi wa kuchaguliwa,moja ya vipaumbele vyake viwe kuibinafsisha Serikali kwa Consaltants au kampuni itakayoshinda tenda ya kuongoza nchi kwa kipindi cha miaka mitano kwa mafanikio kama ambavyo tumekuwa tukiambiwa na hawa waliopo kwenye hatamu sasa.
  NARUDIA,HAYA NI MAWAZO TU
   
 2. a

  alibaba Senior Member

  #2
  Dec 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shaycas,
  Tutamtoa wapi huyo Mmoja aliyesafi na maelezo yako yanaonyesha kuwa wote TUMEOZA? nami nathubutu kukubalianawe, ungozi wa juu Umepwaya mno kwa hiyo Athari zake zimesabaratika kila mahali.(What a shame!!)
   
Loading...