Wasiwasi wangu kuhusu gazeti la mwananchi vs chadem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasiwasi wangu kuhusu gazeti la mwananchi vs chadem

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FRANK EDWARD, Dec 7, 2009.

 1. F

  FRANK EDWARD New Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wadau mimi ni mpenzi sana wa gazeti la mwananchi hiyo inatokana na umakini wa habari zake. Lakini tangu ndugu Kafulila atoke Chadema hawa ndugu wa gazeti la mwananchi naona wamepata dili! kwani hakuna gazeti wanalotoa bila kajihabari kanakohusu Chama Cha Chadema. Kwa upeo wangu mimi naona wanaanza kupotoka kwani kwa mtaji huu wanaonekana kama kuna mkono wa mtu katika kuchochea chuki ndani ya chama.
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  kwakuwa hupendi kuona habari za upande wa pili wa chadema, basi nakushauri usome tanzania daima ili usiendelee kupoteza pesa yako kununua gazeti linalotoa habari zisizokufurahisha.
  kwakuwa unaonekana kulishutumu mwananchi kwa kuwa kwa mtazamo wako mwananchi wanambeba kafulila basi acha kusoma mwananchi upate amani ya roho. Hata viongozi wa chadema wanalishutumu mwananchi kama wewe, sasa nyie hamjiulizi wakati walipokuwa wanawapamba mbona wengine wasiofurahishwa na mambo mazuri yaliyokuwa yakiandikwa na mwananchi kuwapamba hawakulalamika?? Ndugu yangu hebu kuweni wavumilivu kidogo mtazoea tu.
   
Loading...