Serikali ya CCM kuendelea kupendelea wawekezaji - Ngeleja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM kuendelea kupendelea wawekezaji - Ngeleja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rugemeleza, Dec 5, 2009.

 1. R

  Rugemeleza Verified User

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama unataka kuamini kuwa serikali yetu ni kcihwa ngumu basi maelezo ya Waziri Ngeleja yanaonyesha jinsi ambavyo serikali yetu ilivyowakumbatia au kuwa mikononi mwa Wachukuaji wa madini. Licha ya kilio chetu anasema kuwa sheria mpya itaendelea kutoa nafuu na upendeleo kwa wachukuaji hawa. Kwa kweli sasa kunatakiwa hatua za makusudi kupambana na mambo haya ya kutia aibu.


  Saturday December 05, 2009
  Local News
  Investor friendly mining rules coming
  THE government has assured investors that a new mining code will come up with a legal and fiscal regime that will continue to make the country a favourable mining investment destination.

  The Minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, said that the new mining code aims at promoting the mining industry in the country in which an equal beneficial mining regime is guaranteed.

  "The changes going on now are intended to ensure that the government and the people of this country benefit from their natural resources ... all measures are to arrive at a win-win situation," said Mr Ngeleja.

  The minister was speaking on Friday night to the members of the Tanzania Chamber of Minerals and Energy during their annual dinner, at which he officiated.

  The minister also informed the gathering that a stakeholders' meeting to discuss policy implementation, strategies and proposals for the new mining code will take place later this month in Arusha.

  The mining code is being put in place to implement the new 2009 mining policy. Areas of improvement in the new code include having a previewed fiscal regime.

  The minister was responding to an argument by the Chamber's Chairperson, Ambassador Ami Mpungwe, that the long process has led to the country losing its attractiveness to mining investors.

  "This long policy review and consultations are risking to making our country an unstable and unpredictable investment environment for mining industry," said Ambassador Mpungwe.
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Thi will never happen in Tanzania.. Tatizo la viongozi wetu wanajali maslahi yao zaidi kuliko watanzania! Angalia mikoa kama Shyinyanga ambapo kuna madini kibao, lakini huduma za maji safi, umeme na barabara zalami ni hadithi kwa wakazi wa maeneo yanayozungukwa na migodi ya madini. Nadhani sera ya majimbo(iliyopendekezwa na CHADEMA) ingeweza kuwainua wananchi wanaozungukwa na rasimali hizi.
   
Loading...