Fungate (honey moon) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fungate (honey moon)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 7, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  Jamani hivi kuna maana au faida gani kwa kwenda honey moon ama kwenye fungate?
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kupigana kipumb* mpaka mchoke ikiwezekana kunasisha kabisa na kufurahia tendo la ndoa kwa mara ya kwanza mkiwa ndani ya ndoa
   
 3. w

  wakumbuli Senior Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kibweka sijakupata vyema naona siku hizi wengi wao wanakuwa wamejuana kiuroda na tena wengi wao wanatangaza ndoa baada ya kutiana mimba hapo vipi unalizungumziaje hilo,na la kuona used hapo vipi
   
Loading...