Na Margareth Kinabo, Maelezo
KAMISHNA wa Nishati na Madini, Bashir Mrindoko amesema haitawezekana kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya kampuni ya IPTL, ambayo inaendeshwa kwa kutumia dizeli...
Rais Kikwete anahusika Richmond?
KWA wanafalsafa, nilishasema hakuna neno la bahati mbaya. Kila neno hutolewa kwa kukusudia jambo fulani, huwezi kutamka kitu fulani ukasema kuwa ni bahati mbaya...
Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini; Wakazi wa Mkoa wa Kigoma na wale waliojirani na mkoa huo wapo njia panda baada ya barabara kuu ya magari kuingia mkoani humo kupitia KIBONDO...
Kashfa ya Richmond: Ikulu yasema mapendekezo ya Bunge lazima kufanyiwa kazi
Na Ramadhan Semtawa
BAADA ya mkutano wa 17 wa Bunge la Muungano kushindwa kujadili ripoti ya utekelezaji wa...
Kwa wasiomfahamu Chimamanda ni mwandishi mashuhuri wa kiafrica. Kwenye hii link anaongelea mitazamo tofauti inavyoweza kujenga au kuharibu ukweli.
Baadhi ya vitabu vyake ni 'Purple...
This age-old question really has a simple answer. Attempts to answer it, however, and attempts to get around implications of the simple answer are often quite convoluted.
What Came First, the...
Ndugu zangu hali ya maisha ya mtanzania yanatisha,Kila mahali mitumba ,kila kitu mitumba BALAAAA KUBWA HILI !!!Taifa linaangamia kwa mitumba magonjwa mbali mbali ndani ya...
Je unajua jinsi ya kujilinda unapotembelea tovuti kama Facebook au hi5? Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo...
It makes one think and re-evaluate one's life and the blessings we have.... I know it did for me.....
VOTED THE BEST EMAIL OF THIS YEAR
If you think you are unhappy, look at them
If you...
Kuna hii Biashara ya Fedha imezuka kwa kasi sana katika baadhi ya maeneo ya Arusha. Ukifika kituo cha basi kinaitwa Kwa Dr Mohamed, opposite na Summit Centre unakutana na Vijana wanapanga hela...
HIZI ndizo amri kumi kubwa kwa mafisadi popote pale wanapopatikana chini ya Jua la Mwenyezi Mungu. Wote huziheshimu amri hizo kama wanavyoheshimu nafsi zao na punde mmoja akivunja yoyote kati ya...
NI historia inayoturudisha nyuma hadi miaka milioni 20 iliyopita, ambapo mapango ya Amboni yaliyopo nje kidogo ya jiji la Tanga, yalipokuwa yamefunikwa na Bahari ya Hindi, kabla ya maji hayo...
Leo ni siku ambayo Wagiriki wanakumbuka miaka iliyopita jinsi wanafunzi wa vyuo vikuu walivyosimama kidete kuondoa Majunta na serikali yao ya kikandamizi hapa Ugiriki.Kulikuwa na kipindi fulani...
Napenda kuuliza! Tanzania kuna magari mangapi?
haya mabilioni wanayokusanya FIRE, kwa kutulazimisha tukate stika ni ya nini?
kama ufisadi ushaonekana kwenye ukusanyaji, je baadae itakuaje...
Afariki Baada ya kutoa fedha ATM Mashine
Tuesday, November 17, 2009 10:35 AM
MWANAUME mmoja aliyefahamika kwa jina la Chacha W mwenye umri wa miaka 35 amefariki dunia ghafla mara baada ya...
MWINJILISTI wa Kanisa la Evangelism Assemblies of God Tanzania (EAGT) lililopo Majengo mkoani Arusha, Fanuely Sanaki (27) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kutaka kujiua kwa kutumia kamba...
Nimeanza kumtamani Lukuvi
PDIDY
SIKUPATA kufikiri hata siku moja kuwa, William Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, anaweza kukifikilisha kichwa changu kiasi cha kupoteza muda wangu...
Ambwagia mtoto kwa kutopewa fedha za matumizi
Tuesday, November 17, 2009 10:23 AM
MWANAMKE mmoja aliyetambulika kwa jina la Mwanahamisi Shomari [25], mkazi wa Temeke Sandari, anashikiliwa na...
Biashara na mashetani hadi lini?
KWA sasa nchi imo kwenye mgawo wa umeme kwa mara nyingine tena katika sehemu zote zinazopata nishati hiyo kutoka kwenye gridi ya taifa. Hili ni tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.