Back in politics

Back in politics

mtweve

Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
96
Reaction score
8
Habari za siku nyingi ndugu zangu maana ni siku nyingui sana tangu nimeshiriki katika uwanja huu ambao matu na ama wasomi kwa ujmla huwa tunasoma au ktoa hoja zetu.Binafsi nilishindwa kutokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu kabisa.Kwanza HERI YA MWAKA MPYA! nimatumaini yangu kuw mwaka huu utakuwa wa kipekee hasa kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi wa raisi,wabunge na madiwani.Mimi sina shida na ucaguzi wenyewe ,hapana ila namna hari ya ksiasa iliyopo kwa sasa katika nchi yetu ndiyo inayo nifanya nione kuwa watanzania tutegemee mabadiliko makubwa sana.Hili linachochewa zaidi na jinsi elimu ya uraia lilivyopanuka sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom