Darasa la bure kwa viongozi wa tanzania

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,302
Likes
37,954
Points
280

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,302 37,954 280
Ndugu viongozi wakuu wa nchi,
kuna darasa la bure kabisa kwa viongozi wa nchi yetu.
Mtajifunza ni wapi mmekosea, mtapata feed back ya uongozi wenu bure kabisa.
Mtajua nini matarajio ya wananchi waliyo nayo kwenu.
Mtapata mbinu mbalimbali mbadala za kutatua matatizo na kero nyingi ambazo kwa uwezo wenu na wa washauri wenu zimewashinda.
Nawakaribisheni sana hapa jamvini kwetu jamii forum.
 

Forum statistics

Threads 1,189,736
Members 450,798
Posts 27,645,707