Kijana amchinja mama yake mzazi!!??!!

Twande

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Messages
543
Likes
1
Points
0

Twande

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2009
543 1 0
Jamani kweli kuna wakati tunazaa kuondoa maradhi tumboni!! Kijana kamuua mama yake huko tabata kisa alikuwa anataka nyumba wanayoishi iuzwe familia, mama, na kijana wake mwingine ambaye alikuwa ni bwanaharusi mtarajiwa walikataa, bwanaharusi akamwambia mama atakosa mahali pa kuishi!
kijana kwa hasira akawambia atawachinja mmoja baada ya mwingine..kweli baada ya kuisha kwa harusi the following week, kamtuma housegirl dukani, akamchinja mama yake...

Houseg kutoka dkn kamkuta kashika panga mkonon shat lina damu! Na kumwambia ole wake aongee chochote akakae jikoni! na kufunga chumba, hsg aliposhtuka muda unaenda ndo akashtua majirani, mpaka majirani na watoto wengine wa uyo mama waliopigiwa simu walipomkuta kalalia mto, damu zimejaa sakafuni, akisali sala zake za mwisho kwa maumivu makali!

Kumwinua jeraha shingoni na mgongon!!
My God! Mama wa watu amekufa anajiona..kumkimbiza hosp akafia njiani... i have a relative who is a friend of that family and gazeti la amani wametoa leo in detail!!

It is shocking!! And uwezi amini ndani ya familia tunavochanganyika na watu ambao wamembeba shetani live mikononi!! Dunia inaenda wapi hii ee mola!! Mama wa kumzaa..
Ilaze roho ya marehemu pema peponi amina!!
 

bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,341
Likes
211
Points
160

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,341 211 160
khaaaaaa mwili unasisimka kwa woga!!! dunia tuishimo!!! jamaa saa hizi majuto ni mjukuu!!!
 

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
3,673
Likes
30
Points
0

Sajenti

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
3,673 30 0
Hakuna kitu ni mibangi na miunga tu hiyo!!! Huku wenyewe wanaendesha Hammer na Lexus vijana wanafanya mambo ya ajabu!!!
 

Twande

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Messages
543
Likes
1
Points
0

Twande

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2009
543 1 0
khaaaaaa mwili unasisimka kwa woga!!! dunia tuishimo!!! jamaa saa hizi majuto ni mjukuu!!!
Nafikiri kinachosisimua zaidi ni ile image yule mama alikuwa akiipata pale mtoto wake wa kumzaa anaanza kumchinja???!!! Ivi hii ina tofauti na mtoto anaembaka mama yake??
OMG...Mwenyezi Mungu tunusuru!! Ivi bangi inaweza ikamtoa mtu utambuzi wa kumtambua mama yake!!?? Na nackia mteja alishapatikana na cash..! So kijana went crazy on the thoughts of that money!?? pesa ooh pesa inaleta kila jambo baya duniani!!
Iam praying never on this earth isije ikanigeuza kuwa shetani siku moja!! Watu wanaroga! Watu wanaua! Watu wanawasema vibaya wengine wao wawe juu wapate nafasi makazini! Siasa! Biashara! Mtu yuko radhi kutunga uongo mkubwa bila kujali muhusika ataumiaje sababu ya pesa!!
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,232
Likes
331
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,232 331 180
Kila binadamu ana kiasi fulani cha ukichaa kichwani, lakini wa huyu aulizidi viwango!

Kwa ujumla ni mpumbavu na panapomstahili ni jela forever!
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,296
Likes
37,961
Points
280

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,296 37,961 280
Tamaa mbele mauti nyuma,
jamaa alikuwa na tamaa ya urithi hadi akasahau kuwa milango ya jela iko wazi kwa ajili yake.
 

bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,341
Likes
211
Points
160

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,341 211 160
Tamaa mbele mauti nyuma,
jamaa alikuwa na tamaa ya urithi hadi akasahau kuwa milango ya jela iko wazi kwa ajili yake.
wide open.....sasa ndo akili inachangamka kujua hilo!!! hamna cha nyumba wala the brand new wife!!!
 

Forum statistics

Threads 1,191,220
Members 451,515
Posts 27,699,764