Tumesikia kwamba mh. Pinda -Waziri mkuu wa Tz,kaondoka leo kwenda kutibiwa UK kwa wiki moja.
Nadhani ziara ndefu na wingi wa kazi umemchosha sana,kwani hata mwendo miguu inaonekana sio sahihi...
MAOFISA wa usalama wa taifa na polisi wanawahoji wanafunzi wanane wanaosoma shule moja ya sekondari kuhusu jaribio la kuulipua ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.
Wanafunzi hao wa shule ya...
Ndugu Watanzania, tuna hitaji kudai uhuru tena! Siyo uhuru wa kuji tawala wa Tanganyika wa mwaka 1961 au wa Zanzibar wa mwaka 1963 bali uhuru wa kiuchumi, Economic Independence. Kwani tulipo dai...
Kuna jamaa yangu alinisimulia kisa cha abiria mmoja ambaye alikanyagwa mguu na abiria mwenzake kwenye daladala lililoshona abiria. Abiria aliyekanyagwa alipoinua macho yake kuangalia...
WANAFUNZI wengine wapatao wanane wa shule ya Sekondari Biafra wanashikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano maalum kuhusiana na jaribio la kulipua ubalozi wa Marekani...
Baada ya chakula cha jioni Yesu akaenda matembezi. Andrew akaenda kumtafuta Yesu,na alipomuona akasema,''Bwana,ndugu zangu wanashindwa kuelewa kuhusu ufalme. Hatuoni kama tunao uwezo wa kuanza...
Samahani wana JF naomba kuuliza ule mgomo wa wafanyakazi nchi nzima umeishia wapi? Kama nakumbuka vizuri baada ya mgomo ule wa kwanza kusitishwa, TUCTA walitoa siku nane za majadiliano (Kwa waziri...
Ukisikia duniani kuna vioja basi sikiliza kingine hiki. Bw. Salvatory Ndeje mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa amenusurika kifo katika jaribio lake la kutaka kujiua kwa...
Kwa nini serikali haikuonyesha ghadhabu kali kwenye suala la
Richmond?
Ziko wapi ghadhabu za serikali kwa waliohusika na rushwa katika
ununuzi wa rada?
Zipo wapi ghadhabu za serikali kwa...
Kuna ajali imetokea mlangoni mwa makazi ya rais maeneo ya Mikocheni ikihusisha lori aina ya Fuso baada ya kuingukia gari ndogo aina ya pick up, juhudi kubwa zilikuwa zikiendelea kuliondoa gari...
Shule ya Msingi Nduli, ni kilomita takribani 20 kutoka Iringa mjini kwenye jimbo la uchaguzi la Isimani. Pichani ni wanafunzi 120 wa darasa la kwanza chini ya mwalimu Daniela. Mazingira hayo ni...
ratiba ya wiki
jumatatu-jahazi modern taarabu-ddc magomeni.
jumanne-FM-academia ngwasuma -billz
jumatano-twanga billz
alhamis--machozi band-savannah lounge
ijumaa--hii ni kila ukumbi starehe na...
Salaam,nina dukuku kubwa linalonisumbua kila siku ninaposikiliza vipindi toka kituo cha hii redio clouds,hivi lengo la hii steshen ni kuponda shughuli za watu au?kwa maana nilisikitishwa sana...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, ameiponda dhana ya polisi jamii inayotumiwa na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha na Uchumi), Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini.
Makontena 50 ya saruji yenye thamani ya Sh. milioni 114.8 yameingizwa...